Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Come 28 OktobaSwali waliotumwa kwa Lisu.. kazi hawakufanya.. je adhabu yao ni ipi.. mateso yote anayo pata Magu kwenye nafsi yake ni jina lissu linapo tajwa..
Nyie wauza ndaga shangilieni tu maana aliwaumiza sana kuzima biashara yenu haramu. Kama mazoea mlifikiri mtaweza kulipa kisahi ila imewachukua muda kujua awamu ya 5 ni kitu tofauti. Sijui kwa nini hamjifunzi kuacha kuwahi kushangilia kabla hamjashinda. Si mumeona vijana wale wasomi waliyoitema cdm wakiteuliwa kugombea ubunge baada ya makamanda kunyweshana toss ya mvinyo kushangilia kuanguka kwao kura za maoni?Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.
Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.
Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Da Mange kasema kwamba Bashite kapata watoto mapacha.
Gentamycine karibu kijiweni tupate moja mbili tatu.Sikuwahi kudhania kuwa hata Wewe Mtu wa Idara 'Nyeti' nchini ungeweza 'Kupanikishwa' tu hivi hadi 'Kujidhalilisha' kwa haya 'Matusi' makubwa!!!
Gentamycine karibu kijiweni tupate moja mbili tatu.
Siku yoyote ukifika tigo complex niambie boss 😄😄Bahati mbaya siishi huko Tanzania Kwenu ulipo bali nipo huku Kwetu 'Malawi ya Kaskazini' Mkuu. Tanzania yako huko inasemaje Mkuu? Haijambo?
Mimi pia naunga mkono hiliKwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.
Note hii comment
Kama mngejitafakari tu kidogo kuhusu nafasi yenu kama watawaliwa,basi msingejisumbua kwa mida yenu,MB za data kwenye sim zenu kutumika hovyo,na hata wishes zenu juu ya mtawala.Ubalozi syo rahisi, kumbuka kuna mataifa yalishampiga biti kwenda kwao.
Akawe tu mkuu wa mkoa wa chato
duuuhHili mlichukulie kwa tahadhari kubwa mno, hii ni sinema iliyotengenezwa na watawala baada ya kuusoma upepo amini nakwambia baba yake akishika dola utamuona katika teuzi na sijui kama atakosa Balozi nina bet????
Unadata mzee ulijuaje?Ni usalama wa Taifa [TISS] na anaingizwa huko baada ya kuonekana ana ushawishi fulani.
Mfano , Patrobas Katambi alikuwa CCM, akahamia CHADEMA na akawa kiongozi mkubwa BAVICHA, wana CCM ile timu yao ya nunua nunua wapinzani wakamnasa KATAMBI na akafika bei, alipokubali kujiunga pia aliwapa masharti kwamba wamteue, wakampeleka mafunzo na sasa ni " afisa kipenyo" anafanya tisiii
Sio kweli anasubiri uchaguzi uishe ateuliwe kuwa mbunge na waziri wa mambo ya ndani.Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.
Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.
Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Nileteeni GwajimaKuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.