Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'


Pyu pyu pyu kwa binadamu mwenzio!!! Eti "Mhe. Rais, wewe piga kazi, sisi tutawashughulikia wanaokupinga". Kushughulika kwenyewe ni kwa pyu pyu pyu!!! kwa cover ya wasiojulikana!!!! Mungu hadhihakiwi kiasi hiki. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
NAKAZIA
 
Bashite yeye alitampoteza nyaulingo kupoteza ushahidi na yeye asipokuwa makini atapotezwa ili wapoteze ushahidi wa shambulio la Tundu aliloliratibu vibaya mpaka mtukufu kumchukia sana
 
Pyu pyu pyu kwa binadamu mwenzio!!! Eti "Mhe. Rais, wewe piga kazi, sisi tutawashughulikia wanaokupinga". Kushughulika kwenyewe ni kwa pyu pyu pyu!!! kwa cover ya wasiojulikana!!!! Mungu hadhihakiwi kiasi hiki. Malipo ni hapa hapa duniani.
Kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni rafiki mkubwa wa Bashite anasema kuwa mtukufu amekasirika kutokana na Bashite kufeli kumuua Tundu lisu kule Dodoma, lakini kaahidi endapo atarejea ikulu atamzawadia ubunge na kumgawia uwaziri pia
 
Ilifikia mahali watu kufikiri jamaa angeweza kuukwaa uwaziri wa mambo ya Ndani ! Muungwana akivuliwa nguo huchutama
Mtukufu anaplan ya kumpa uwaziri baada ya kumzawadia ubunge katika vile viti 10
 
Mtukufu anaplan ya kumpa uwaziri baada ya kumzawadia ubunge katika vile viti 10

Sikio la kufa halina dawa. Afanye yake. Wote wawili watatumbukia shimoni.
 
Afisa kipenyo ndio mtu wa aina gani na kwanini awe kipenyo

Ni usalama wa Taifa [TISS] na anaingizwa huko baada ya kuonekana ana ushawishi fulani.
Mfano , Patrobas Katambi alikuwa CCM, akahamia CHADEMA na akawa kiongozi mkubwa BAVICHA, wana CCM ile timu yao ya nunua nunua wapinzani wakamnasa KATAMBI na akafika bei, alipokubali kujiunga pia aliwapa masharti kwamba wamteue, wakampeleka mafunzo na sasa ni " afisa kipenyo" anafanya tisiii
 
Ile 'Oparesheni' yako ya Kupigwa 'Bomba' huko 'Kunako' Kwako ilienda vizuri?

We jamaa una tatizo pahala ,kuna kipindi nilisikia ulitaka umnyang'anye hata mama yako mume,ambaye ndio dingi yako mzazi,jamii isingeinglia kati ungekuwa umempkonya mume bibi mkubwa wako na kujimilikisha wewe
 
Kwakuwa watanzania niwepesi wakusahau huo nimchezo tunachezewa.

WATANZANIA WANACHEZEWA AKILI NA KWAKUWA WANAMCHUKIA MAKONDA HASA DAR WATAMPA KURA MAGUFULI KWA KUMFUKUZA MAKONDA KAZI WASIJUE NI GAME TU BAADA YA UCHAGUZI ANAMRUDISHA KAZINI ........HATA JUZI ILE GAME YA PSU NI MCHEZO WA KUINGIZA TU
 
Moja ya makosa yake ni kutofanikisha ile mission ya Dodoma kwenye compound ya nyumba za serikali.
Na baada ya Pompeo kumjia juu na kumpiga ban ya kutokanyaga USA yeye pamoja na ndugu zake .. Ndio serikali ya ccm ikashtuka kwamba huyo kijana wasipo mchukulia hatua atakuja kuiingiza nchi matatizoni
 
Tatizo munazidisha sana zomea zomea kiasi inawapunguzia hata reasoning. Huyu aliondoka ukuu wa mkoa kwa malengo yake mwenyewe na hata hakuondolewa. Ni miscalculation kama mtu mwingine. Lakini pia huwezi kukataa umuhimu wa Makonda ktk Dar na hasa suala la madawa ya kulevya ambalo ndo lilileta maadui wengi. Kabla yake madawa yaliuzwa hadi kwenye mageti ya shule za msingi na sekondari. Shisha ikawa fasheni! Ni baada ya vurugu zake ndo rais akagundua uteuzi wa Kamishna wa madawa ulikuwa bado na ulikuwa unapigwa vita.

Hata kama amekosea mara nyingi, tumsifu kwa machache aliyofanikisha. Tuache siasa za kuzomea zomea tu bila sababu. Iwe CHADEMA au CCM au CUF, n.k. Kuzomeana kumefanya hali ya kujiona kwamba chama fulani tu ndo kina watu wa maana, jambo ambalo ni upuuzi tu! Tangu lini chama cha siasa kikaleta akili kichwani, au kikachagua watu wa akili fulani na wengine wakaachwa? Tumo mchanganyiko. Makonda anastahili sifa zake badala ya kumfanya adui. Dar ilizoea watu wapuuzi wanaotetea hata kufumaniwa, eti hao ndo watoto wa mjini! Rubbish!
 

Sasa kama umejua kuwa mambo mengine hayana 'Mantiki' kwanini umepoteza tena muda wako Kufungua huu 'Uzi' na Kuuchangia pia? Pumbavu.
 

Swine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…