Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu...
Noma Sana ,vp kule chigari

USSR
 
Na vitambi vyote vile una amini kuna ulinzi pale? Ulinzi wa pekee ni kutoka kwa Mungu tu, halafu pia kumbuka wale ni binadamu kuna wakati wanaweza jisahau, zile bunduki zisikutishe kutoka kwa vijana wa makirikiri.
 
mabunduki wala mabomu hayajawahi kumuhakikishia kiongozi yeyote wa nchi yoyote usalama wake dhidi ya dhamira ya mtu wa kikundi cha watu, unadhani mtu akiamua kumuua Rais anashindwa?
Kuna tofauti Kubwa sana kati ya 'Kubwabwaja' kama hivi hapa Mtandaoni kama ulivyofanya na Wewe Kuthubutu Kujitokeza ( Kwenda ) mbele ( Front ) ukamshambulie Rais ili kitakachokupata baada ya hapo unipe ( utupe ) Mrejesho wako hapa sawa?
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Duh. Uko na ushahidi na hizo shutuma na hujuma ulizozitaja burazaaaa?,

Nani huyo anayeleta fujo?
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Wauaji wa zama hizi hawashiki silaha yeyote, wana angalia ule umeme unaopita kwenye mishipa ya fahamu kichwani mwako wanapiga mahesabu alafu wanatumia camera malumu na mchezo umekwisha.
 
Kigali na huu Uzi wangu vina uhusiano gani?
Au unatakaje si unependa sifa
IMG-20210808-WA0035.jpg
 
Kwahiyo wewe una shauri nini?
Hao ndiyo wale kutoka upande ule wa Wafanya Fujo, Wahuni, Vibaka na Waandamanaji ambao wanapenda Mama awe 'assasinated' ili wafurahi wakidhani ndiyo watachukua nchi kama ambavyo Wanaota baada ya Kudanganywa na aliyeko Jimbo la Segerea na yule 'anayerandaranda' kama Paka wa Baa huko Ulaya.
 
Waambie wavae kofia ngumu +bullet proofs kama wavaavyo wenzao polisi.Siku likitokea tusimlaumu mtu.Tunampenda mama yetu!
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Kuna watu wanatamani mlimani city wakiwa motivated na SA
 
Back
Top Bottom