Una ushahidi mkuu utuwekee?Sasa mbona mwendazake alikuwa na ulinzi zaidi na bado akafa? Tena kiboya sana eti corona inamuua mtu aliyejiita Jiwe. Baabeki bunduki mzigo tu.
Wale maboya wanaokuwa pembeni na miwani mikubwa hawalindi chochote.
Acha porojo bwana hakuna mlinzi wa rais mwenye kitambi 😂😂😂Na vitambi vyote vile una amini kuna ulinzi pale? Ulinzi wa pekee ni kutoka kwa Mungu tu, halafu pia kumbuka wale ni binadamu kuna wakati wanaweza jisahau, zile bunduki zisikutishe kutoka kwa vijana wa makirikiri.
Hivi kumbe Kagame ana cancer ya ubongo? Kwa mauaji yale ya mwaka 1994, nilitegemea lazima atapata pigo toka kwa Mungu.Mlinzi ni Mungu pekee!Ndio maana hata ndugu yako japo anaulinzi wa kutosha Bado anauguza Cancer ya Ubongo!!!japo Alishawatanguliza kina KAREGEYA,RWIGYEMA na Kumkosa kosa kumuua NYAMWASA!!MLINZI NI MUNGU NDUGU YANGU!!!
Kuna tofauti Kubwa sana kati ya 'Kubwabwaja' kama hivi hapa Mtandaoni kama ulivyofanya na Wewe Kuthubutu Kujitokeza ( Kwenda ) mbele ( Front ) ukamshambulie Rais ili kitakachokupata baada ya hapo unipe ( utupe ) Mrejesho wako hapa sawa?
Hawa wana six packs 😄 embu angalia hao walinzi waliotangulia mbele, hilo ni tumbo la kawaida.Acha porojo bwana hakuna mlinzi wa rais mwenye kitambi 😂😂😂
Aisee!Usalama upi wakumruhusu raisi wa nchi yako aendeshwe na raisi wa nchi nyingine
Ahsante mkuuAndiko hili ni kama limeandikwa na bata; hatusomi nani kaandika nini bali tunasoma kilichoandikwa hapa. Usidhani kuwa tunasoma kwa sababu wewe ndiye umeandika. JF ina wachama wengi sana wanaoweka post mbalimbali hapa na tunajitahidi kuzuisoma zote hata kama zimeandikwa na bata kama aliyeandika hii. Kusoma haina maana kuwa tunaifuatilia 24/7. Tuna kazi nyingine za muhimu zaidi ya kusoma threads za JF tu.
WawapiKuna mtu alijitokeza kwenye ile mikutano ya Magufuli barabarani atoe kero
Chuma akasema mpeni mike,yeye kwa mzuka alijongea kwa Magufuli kutaka kuchukua kipaza sauti
Hakufika hata mita moja toka aliposimama,alipigwa konga la ajabu sana,jamaa mwaka wa tatu huu ana tatizo la kumeza mate
Embu kajaribu tukuone,au ndio hujaamua.Mabunduki wala mabomu hayajawahi kumuhakikishia kiongozi yeyote wa nchi yoyote usalama wake dhidi ya dhamira ya mtu wa kikundi cha watu, unadhani mtu akiamua kumuua Rais anashindwa?
Na conect dots tu wala sio mpelelezi!!!Niwapeleleze nyie wajomba zangu ili iweje???mi najua tu tena Mengi sana!!!!Halafu Wewe habari za ndani kabisa za Rais wangu ( wetu ) Paul Kagame unazitoa wapi? Naanza rasmi 'Mission' ya Kukujua mpaka ulipo kwani Wanyarwanda hatupendi Kupelelezwa japo siye tumewashapelelezeni vya kutosha Watanzania tena maeneo yenu yote Muhimu tu.
Najua Mwenyezi Mungu kaniumba na kunibariki na nini ambacho Wapumbavu kama Wewe hamna na ndiyo maana Kutwa mnanichukia utadhani labda 'ninawakazeni' na mna 'Mimba' zangu.Matumizi ya matusi hovyo ni kati ya sifa za watu wenye akili pungufu; sina uhakika kama akili yako ni timamu, lakini siyo kweli kuwa ninakufuatilia wewe 24/7 bali husoma post zote zilinazowekwa hapa ninapokuwa na muda, siyo zako tu bali za mtu yeyote hata za kupunguani, nitazisoma na kuziacha.
Kansa ya Ubongo unayo peke yako oky?Hivi kumbe Kagame ana cancer ya ubongo? Kwa mauaji yale ya mwaka 1994, nilitegemea lazima atapata pigo toka kwa Mungu.
Muulize Mpumbavu mwenzako Inside10 ni Kitu gani Kinawavutia Kunifuatilia hapa JamiiForums 24/7 wakati mkijua kabisa nawakera na hamnipendi?Andiko hili ni kama limeandikwa na bata; hatusomi nani Kuandika nini bali tunasoma kilichoandikwa hapa. Usidhani kuwa tunasoma kwa sababu wewe ndiye umeandika. JF ina wachama wengi sana wanaoweka post mbalimbali hapa na tunajitahidi kuzuisoma zote hata kama zimeandikwa na bata kama aliyeandika hii. Kusoma haina maana kuwa tunaifuatilia 24/7. Tuna kazi nyingine za muhimu zaidi ya kusoma threads za JF tu.
Naunga mkono hoja Rais alindwe kweli kweli ,maana yupo true and fair hata kwa ndugu zetu chadema maana mawazo yao ya kwanza ndio bora kabisa ,wachache tu wenye chokochoko ni wamejaa fujoSisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais Samia Suluhu Hassan.
Uoga tu umewazidi hivyo vitu ulivyosema havina msaadaWaambie wavae kofia ngumu +bullet proofs kama wavaavyo wenzao polisi.Siku likitokea tusimlaumu mtu.Tunampenda mama yetu!