The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
"Jilinde nami nitakulinda"Mlinzi mkuu ni Mungu,hata hao walioshika mabunduki huwa siwaamini
Vipi ukiugua hua unaenda Hospitali kutibiwa na binadamu?
"Jilinde nami nitakulinda"Mlinzi mkuu ni Mungu,hata hao walioshika mabunduki huwa siwaamini
Kabisa na mbinu ni nyingi balaaaaaWauaji wa zama hizi hawashiki silaha yeyote, wana angalia ule umeme unaopita kwenye mishipa ya fahamu kichwani mwako wanapiga mahesabu alafu wanatumia camera malumu na mchezo umekwisha.
Kwa sasa tu Jeshi la Rwanda ndiyo Bora.Au unatakaje si unependa sifaView attachment 1886079
Au sioKwa sasa tu Jeshi la Rwanda ndiyo Bora.
Soma tena comment yangu kwa utulivu,Sidhani kama huu ni ushauri
Haya ni maoni yake
Yaheshimiwe
Tumejipanga kuhakikisha mama yupo salama kabisa.. ili aendelee kuupiga mwingi, wakileta fyoko fyoko tunawapelekea motooo tuSisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Unajua Siri ya nchi moja.Kwa sasa tu Jeshi la Rwanda ndiyo Bora.
Naona umefurahia picha Ila jua kwa Rwanda kwa tz ni Kama mtoto wa mbwa na simbaKwa sasa tu Jeshi la Rwanda ndiyo Bora.
Loliondo kupata kikombe"Jilinde nami nitakulinda"
Vipi ukiugua hua unaenda Hospitali kutibiwa na binadamu?
Kati ya Uganda, Kenya na Tanzania nchi pekee ambayo kwa sababu zangu binafsi inaweza Kuipiga Rwanda ( tena kwa taabu sana ) ni Uganda tu peke yake nyinginezo ni nyepesi mno na zinapigika Kirahisi katika Uwanja wa Vita.Naona umefurahia picha Ila jua kwa Rwanda kwa tz ni Kama mtoto wa mbwa na simba
USSR
Da Yani Rwanda iipige tz daKati ya Uganda, Kenya na Tanzania nchi pekee ambayo kwa sababu zangu binafsi inaweza Kuipiga Rwanda ( tena kwa taabu sana ) ni Uganda tu peke yake nyinginezo ni nyepesi mno na zinapigika Kirahisi katika Uwanja wa Vita.
Hutaki au? Jaribuni....!!!Da Yani Rwanda iipige tz da
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Tuta tomb mama zao wote nakuteka viji drone vyaoHutaki au? Jaribuni....!!!
Sawa mkuu. Alindwe vipi ili mapenzi ya Mungu yasitimizwe? Je; mizinga, midege ya kivita, na vifaru vitafua dafu?Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
safi sana rais lazima alindwe waseme watakavyosema lakini analindwa tuSisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.