GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Noma Sana ,vp kule chigariSisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu...
Kwahiyo wewe una shauri nini?mabunduki wala mabomu hayajawahi kumuhakikishia kiongozi yeyote wa nchi yoyote usalama wake dhidi ya dhamira ya mtu wa kikundi cha watu, unadhani mtu akiamua kumuua Rais anashindwa?
Kuna tofauti Kubwa sana kati ya 'Kubwabwaja' kama hivi hapa Mtandaoni kama ulivyofanya na Wewe Kuthubutu Kujitokeza ( Kwenda ) mbele ( Front ) ukamshambulie Rais ili kitakachokupata baada ya hapo unipe ( utupe ) Mrejesho wako hapa sawa?mabunduki wala mabomu hayajawahi kumuhakikishia kiongozi yeyote wa nchi yoyote usalama wake dhidi ya dhamira ya mtu wa kikundi cha watu, unadhani mtu akiamua kumuua Rais anashindwa?
Duh. Uko na ushahidi na hizo shutuma na hujuma ulizozitaja burazaaaa?,Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Kigali na huu Uzi wangu vina uhusiano gani?Noma Sana ,vp kule chigari
USSR
Wauaji wa zama hizi hawashiki silaha yeyote, wana angalia ule umeme unaopita kwenye mishipa ya fahamu kichwani mwako wanapiga mahesabu alafu wanatumia camera malumu na mchezo umekwisha.Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Au unatakaje si unependa sifaKigali na huu Uzi wangu vina uhusiano gani?
Hao ndiyo wale kutoka upande ule wa Wafanya Fujo, Wahuni, Vibaka na Waandamanaji ambao wanapenda Mama awe 'assasinated' ili wafurahi wakidhani ndiyo watachukua nchi kama ambavyo Wanaota baada ya Kudanganywa na aliyeko Jimbo la Segerea na yule 'anayerandaranda' kama Paka wa Baa huko Ulaya.Kwahiyo wewe una shauri nini?
Waleta Fujo ni Mtu Huru na Tobo Moja.Duh. Uko na ushahidi na hizo shutuma na hujuma ulizozitaja burazaaaa?,
Nani huyo anayeleta fujo?
Mlinzi mkuu ni Mungu,hata hao walioshika mabunduki huwa siwaaminiKwahiyo wewe una shauri nini?
Kuna watu wanatamani mlimani city wakiwa motivated na SASisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.
Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.
Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Mwenyewe nashangaaMabunduki wala mabomu hayajawahi kumuhakikishia kiongozi yeyote wa nchi yoyote usalama wake dhidi ya dhamira ya mtu wa kikundi cha watu, unadhani mtu akiamua kumuua Rais anashindwa?
Sidhani kama huu ni ushauriKwahiyo wewe una shauri nini?