Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

Wauaji wa zama hizi hawashiki silaha yeyote, wana angalia ule umeme unaopita kwenye mishipa ya fahamu kichwani mwako wanapiga mahesabu alafu wanatumia camera malumu na mchezo umekwisha.
Kabisa na mbinu ni nyingi balaaaaa

Chakufanya nikuweka urafiki na maadui zako
 
Tumejipanga kuhakikisha mama yupo salama kabisa.. ili aendelee kuupiga mwingi, wakileta fyoko fyoko tunawapelekea motooo tu
 
Naona umefurahia picha Ila jua kwa Rwanda kwa tz ni Kama mtoto wa mbwa na simba

USSR
Kati ya Uganda, Kenya na Tanzania nchi pekee ambayo kwa sababu zangu binafsi inaweza Kuipiga Rwanda ( tena kwa taabu sana ) ni Uganda tu peke yake nyinginezo ni nyepesi mno na zinapigika Kirahisi katika Uwanja wa Vita.
 
Kati ya Uganda, Kenya na Tanzania nchi pekee ambayo kwa sababu zangu binafsi inaweza Kuipiga Rwanda ( tena kwa taabu sana ) ni Uganda tu peke yake nyinginezo ni nyepesi mno na zinapigika Kirahisi katika Uwanja wa Vita.
Da Yani Rwanda iipige tz da
 
Ahsante mkuu, kwa kuwakumbusha kitu hichi maana gharama zake ni kubwa alafu....




.
Basi tu nashia hapa
 

Nimecheka kwa nguvu kinoma. Ufanyike utaratibu na yeye awe na airforce one kabisa. Hiyo itasaidia hao wanaotaka kuandamana wasimpate kabisa.
 
Sawa mkuu. Alindwe vipi ili mapenzi ya Mungu yasitimizwe? Je; mizinga, midege ya kivita, na vifaru vitafua dafu?
 
Mlinzi ni Mungu pekee!Ndio maana hata ndugu yako japo anaulinzi wa kutosha Bado anauguza Cancer ya Ubongo!!!japo Alishawatanguliza kina KAREGEYA,RWIGYEMA na Kumkosa kosa kumuua NYAMWASA!!MLINZI NI MUNGU NDUGU YANGU!!!
 
safi sana rais lazima alindwe waseme watakavyosema lakini analindwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…