Asanteni sana Wachezaji Waandamizi Wazawa Wawili Juzi na Jana 'Kuwapiga' Onana na Inonga kwa 'Dharau' zao baada ya 'Kipigo' cha Yanga SC

Maadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
 
Ndio kaka mimi ni Mpumbavu mkuu hapa Jamii forum mimi ndio kiongozi wa majinga.

Tena unapoliandama lipumbavu kama mimi utashagaza sana.

Unamkimbiza chizi Mwizi wa nguo ukiwa uchi, wewe utaonekana hamnazo mkuu.

Alafu pia kwa hekima achana na personalities.

Pambana na hoja na si mtu.
Ni ushauri mdogo tu kutoka kwa mpumbavu.
Jinga lao.

👻
ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
 
Huko nilitoka mkuu nikaona niwaachie nyie werevu.

Mimi ni mjinga na pumbavu mkuu.
ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
 
Maadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
Ujinga ukiwa ndiyo unakuhusu sana.

  • Thanks
Reactions: EEX
Safi sana tena baada ya kuyapiga wangeyatemea na mate na makohozi.
 
Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili Mmoja Kiongozi na Mwingine yuko Benchi la Ufundi.

Wewe Mchezaji Mwandamizi Mzawa wa Simba SC uliyeninyooshea vilivyo Mchezaji Mpuuzi na Mchezaji ninayemchukia Leandre Onana Mwana wako GENTAMYCINE nakuomba tukutane pale Kijiweni Kwako Goba baadae Jioni ili nikupe hata Kuku tu uende ukamchinje na Ujipoze kwani Umenifurahisha mno.

Nawe uliyeninyooshea Inonga tukutane mida mida Mikocheni B kwa Warioba uje nikupe namba ya Demu wake Mmoja Mtanzania ( ambaye anapendwa na Inonga hadi ameanza kusahau Kwao Congo DR ) ili Umtongoze na upite nae mazima Kibaiolojia ili akijua aumie mara Mbili kama alivyotuumiza Sisi wana Simba SC kwa Kutuhujumu Jumapili na Kukutwa na Kimbunga Hatari cha tarehe 5 goli 5.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.

...................................................................

...

Na nyie Wazee wa Kukopi kila Taarifa / Habari ambazo GENTAMYCINE nazileta hapa oneni Aibu basi hata kidogo kusema / kujifanya ni zenu ( mmeziibua nyie ) wakati kumbe zote ( kwa 100% ) mmezitoa hapa Jamiiforums na Kwangu Mwamba na Mfalme GENTAMYCINE.

Na kama mnajifanya mnajua Kupata / Kuibua Taarifa / Habari za Ndani ( Nyeti ) za Kimichezo nchini mbona kuna Matukio makubwa Mawili ya Ndani na yanafanyika leo Simba SC ( baada ya Kipigo cha Juzi ) na wala hamjaitoa au hamjaileta hapa?

Sasa kwakuwa najua hamuijui na hamna Ubavu wa Kuzijua niamkieni Kwanza GENTAMYCINE, nipigieni Salute na kubalini Mimi ni Mfalme na Mwamba ndiyo nitazileta hapa Jamiiforums kisha mzikopi huko katika Viblogu Blogu vyenu, Mitandaoni na katika Redio zenu mpate Followers zaidi, ila msipofanya hivyo nabaki nazo na Mtadoda huku Mkinuna.

Kudadadeki..!!
Kwa hiyo wameipiga USD 200k kutoka Cameroon, daah sasa ngojea kaka yake Etoo ajue,maana huyu si mlimpata kupitia kaka yake Etooo..........😀.
 
Maadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga na
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere
 
ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Assalaam "Khamsa" Aleykum Seleee!
 
Assalam "Khamsa" Aleykum Seleee!
 
Rekodi uliyotakiwa kuifuta ni ile ya Goli 5 kwa 0 ya mwaka 2012 na siyo hii yako ya Goli 5 kwa 1.

Na ukimaliza kulipa Rekodi hii njoo uzifute na zile Goli 4 kwa 1 nilizokufunga zaidi ya mara Nne huku Mechi moja aliyekuwa Kipa wenu Peter Manyika baada ya tayari Yanga SC kufungwa Goli 4 ( Uwanja wa Uhuru Shamba la Bibi ) alimwomba Kiuhuruma ( tena kwa Sauti ) Mshambuliaji wa Simba SC Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio' kuwa asimfunge Goli la 5 kwani angeaibika na kweli Madaraka akazuga na kumpa Mpira Mshambuliaji mwingine aliyekuwa si sehemu nzuri ya Kufunga na hakufunga kweli.

Mkimaliza kulipa hiki Kisasi cha Goli Nne Nne nakuomba sasa uje uifute Rekodi ambayo inakutesa hadi leo ya Kufungwa na Simba SC Goli 6 kwa 0.

Kudadadeki...!!
Nasikia siku hizi unaitwa Selemani, imekuwaje?
 
Wapeee wapee.....rekodi zinaongea...
 
Tulipokuwa tunawauliza pre season Simba mnaenda uturuki kuongeza makalio au mashavu!, Mlikuwa mnanitukana Sana hapa... Sasa Kama sio uchizi ni nini timu inageuka kuwa kiwanja Cha ndondi Kama vipi wewe GENTAMYCINE tukuombe pambano na Babra?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu una hoja usikilizwe
 
Back
Top Bottom