CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Maadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na upopomaMaadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
ANGALIZONdio kaka mimi ni Mpumbavu mkuu hapa Jamii forum mimi ndio kiongozi wa majinga.
Tena unapoliandama lipumbavu kama mimi utashagaza sana.
Unamkimbiza chizi Mwizi wa nguo ukiwa uchi, wewe utaonekana hamnazo mkuu.
Alafu pia kwa hekima achana na personalities.
Pambana na hoja na si mtu.
Ni ushauri mdogo tu kutoka kwa mpumbavu.
Jinga lao.
👻
ANGALIZOHuko nilitoka mkuu nikaona niwaachie nyie werevu.
Mimi ni mjinga na pumbavu mkuu.
Ujinga ukiwa ndiyo unakuhusu sana.Maadui wakubwa wa Taifa letu ni
'Umasikini.
Ujinga.
Maradhi'.
Julius Kambarage Nyerere.
Ulionao Wewe na Koo zako zote Mbili.Ongeza na upopoma
Waliumia sana yeye na Zimbwe. Ni vyema kuwa na wachezaji wanaojua na kuithamini Nembo na historia ya timu.Hapo Shommy12 lazima ahusike kutembeza kichapo..
Kwa hiyo wameipiga USD 200k kutoka Cameroon, daah sasa ngojea kaka yake Etoo ajue,maana huyu si mlimpata kupitia kaka yake Etooo..........😀.Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili Mmoja Kiongozi na Mwingine yuko Benchi la Ufundi.
Wewe Mchezaji Mwandamizi Mzawa wa Simba SC uliyeninyooshea vilivyo Mchezaji Mpuuzi na Mchezaji ninayemchukia Leandre Onana Mwana wako GENTAMYCINE nakuomba tukutane pale Kijiweni Kwako Goba baadae Jioni ili nikupe hata Kuku tu uende ukamchinje na Ujipoze kwani Umenifurahisha mno.
Nawe uliyeninyooshea Inonga tukutane mida mida Mikocheni B kwa Warioba uje nikupe namba ya Demu wake Mmoja Mtanzania ( ambaye anapendwa na Inonga hadi ameanza kusahau Kwao Congo DR ) ili Umtongoze na upite nae mazima Kibaiolojia ili akijua aumie mara Mbili kama alivyotuumiza Sisi wana Simba SC kwa Kutuhujumu Jumapili na Kukutwa na Kimbunga Hatari cha tarehe 5 goli 5.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
...................................................................
...
Na nyie Wazee wa Kukopi kila Taarifa / Habari ambazo GENTAMYCINE nazileta hapa oneni Aibu basi hata kidogo kusema / kujifanya ni zenu ( mmeziibua nyie ) wakati kumbe zote ( kwa 100% ) mmezitoa hapa Jamiiforums na Kwangu Mwamba na Mfalme GENTAMYCINE.
Na kama mnajifanya mnajua Kupata / Kuibua Taarifa / Habari za Ndani ( Nyeti ) za Kimichezo nchini mbona kuna Matukio makubwa Mawili ya Ndani na yanafanyika leo Simba SC ( baada ya Kipigo cha Juzi ) na wala hamjaitoa au hamjaileta hapa?
Sasa kwakuwa najua hamuijui na hamna Ubavu wa Kuzijua niamkieni Kwanza GENTAMYCINE, nipigieni Salute na kubalini Mimi ni Mfalme na Mwamba ndiyo nitazileta hapa Jamiiforums kisha mzikopi huko katika Viblogu Blogu vyenu, Mitandaoni na katika Redio zenu mpate Followers zaidi, ila msipofanya hivyo nabaki nazo na Mtadoda huku Mkinuna.
Kudadadeki..!!
Assalaam "Khamsa" Aleykum Seleee!ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Assalam "Khamsa" Aleykum Seleee!Ujinga ukiwa ndiyo unakuhusu sana.

Nasikia siku hizi unaitwa Selemani, imekuwaje?Rekodi uliyotakiwa kuifuta ni ile ya Goli 5 kwa 0 ya mwaka 2012 na siyo hii yako ya Goli 5 kwa 1.
Na ukimaliza kulipa Rekodi hii njoo uzifute na zile Goli 4 kwa 1 nilizokufunga zaidi ya mara Nne huku Mechi moja aliyekuwa Kipa wenu Peter Manyika baada ya tayari Yanga SC kufungwa Goli 4 ( Uwanja wa Uhuru Shamba la Bibi ) alimwomba Kiuhuruma ( tena kwa Sauti ) Mshambuliaji wa Simba SC Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio' kuwa asimfunge Goli la 5 kwani angeaibika na kweli Madaraka akazuga na kumpa Mpira Mshambuliaji mwingine aliyekuwa si sehemu nzuri ya Kufunga na hakufunga kweli.
Mkimaliza kulipa hiki Kisasi cha Goli Nne Nne nakuomba sasa uje uifute Rekodi ambayo inakutesa hadi leo ya Kufungwa na Simba SC Goli 6 kwa 0.
Kudadadeki...!!
Sawa popomaUlionao Wewe na Koo zako zote Mbili.
Wapeee wapee.....rekodi zinaongea...Rekodi uliyotakiwa kuifuta ni ile ya Goli 5 kwa 0 ya mwaka 2012 na siyo hii yako ya Goli 5 kwa 1.
Na ukimaliza kulipa Rekodi hii njoo uzifute na zile Goli 4 kwa 1 nilizokufunga zaidi ya mara Nne huku Mechi moja aliyekuwa Kipa wenu Peter Manyika baada ya tayari Yanga SC kufungwa Goli 4 ( Uwanja wa Uhuru Shamba la Bibi ) alimwomba Kiuhuruma ( tena kwa Sauti ) Mshambuliaji wa Simba SC Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio' kuwa asimfunge Goli la 5 kwani angeaibika na kweli Madaraka akazuga na kumpa Mpira Mshambuliaji mwingine aliyekuwa si sehemu nzuri ya Kufunga na hakufunga kweli.
Mkimaliza kulipa hiki Kisasi cha Goli Nne Nne nakuomba sasa uje uifute Rekodi ambayo inakutesa hadi leo ya Kufungwa na Simba SC Goli 6 kwa 0.
Kudadadeki...!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu una hoja usikilizweTulipokuwa tunawauliza pre season Simba mnaenda uturuki kuongeza makalio au mashavu!, Mlikuwa mnanitukana Sana hapa... Sasa Kama sio uchizi ni nini timu inageuka kuwa kiwanja Cha ndondi Kama vipi wewe GENTAMYCINE tukuombe pambano na Babra?
Aliyekuzaa.Mwezi mchanga