Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

20200820_151333.jpg
 
Kamati kamati kamat asanten

Asante Mkuu na sasa Mimi na Kamati yangu hii 'tunajitafakari' je, tukaweke tena 'Fitna' Kawe Mdee wa CHADEMA apite au 'Tumchunie' Mchungaji?
 
Jamaa kakonda au anaenda jim kila saa, tujifunze majivuno, dharau haifai kwenye harakati na jamaa alikua mfitini na mchonganishi inaeza kua sababu ya watu kufurahia anguko lake
 
GENTAMYCINE,

aah wapi... huyu lazima atarejeshwa na baba mtu kwa mlango wa uani.

kama hatakuwa RC wa Dar tena au Arusha basi atagewa uwaziri Home Affairs au Defence.

trust me. ain't start partying....yet.
 
Kwa niliyoyasikia 'chini ya Kapeti' kwa yanayoandaliwa dhidi yake kuna uwezekano mkubwa akaja kuwa 'Fukara' wa Kutupwa kuliko Mimi na Wewe.
 
aah wapi... huyu lazima atarejeshwa na baba mtu kwa mlango wa uani.

kama hatakuwa RC wa Dar tena au Arusha basi atagewa uwaziri Home Affairs au Defence.

trust me. ain't start partying....yet.

Nami nakuambia hapa hapa kama kuna Mtu ambaye tena kuanzia sasa 'asahau' kuteuliwa kokote na JPM ni Yeye huyu 'Mpuuzi' Mwandamizi wenu.
 
Tayari anachunguzwa kwa matumizi mabaya ya ofisi. Mengine hatuwezi kuyasema hapa kwa kuzingatia masharti na vigezo vya jukwaa letu kwa sasa ni hayo...

Kuna Watu ( Members ) hapa JF niliposema kuwa huyu 'Mpuuzi' muda wowote kuna 'Mashtaka' atayajibu na 'atafilisiwa' mazima tu hawakunielewa.
 
Uwezo wako wa Kufikri ni mdogo mno na ndiyo maana mara kwa mara huwa 'nakudharau' sana hapa Jamvini ( JF ) Hivi Mbunge wa Kuteuliwa huwa anakuwa na Mvuto kama yule Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi kwa Kumuamini na Mapenzi yao Kwake? Hata kama 'Babaake' sijui atamteua kama ambavyo Wewe unataka ila ukweli utabaki pale pale kuwa katika 'Mchakato' mzima kuanzia Kutia Nia Kwake na hadi kusubiria Matokeo rasmi huku Dodoma hakuaminiwa na ametoswa kama hivi.

Na ili ujione kuwa kweli huna Akili ( yaani ni Mpumbavu Mwandamizi ) hapa Jamvini sasa kama kumbe huyo 'Mpuuzi' wako alijua kuwa 'Babaake' iwe isiwe katika zile nafasi zake Kumi ( 10 ) atamteua ilikuwaje akatia nia? Kwanini asingeendelea tu na Nafasi aliyokuwa nayo ili asubirie huko Kuteuliwa? Na kama alijua kuwa anaweza kuja 'Kuteuliwa' imekuwaje ametumia Pesa nyingi sana 'Kuhonga' Wajumbe huko Kigamboni?

Labda nimalizie tu kwa Kukuuliza Swali je, umeshajiuliza ni kwanini hivi sasa huyo 'Mpuuzi' ameanza 'Kukonda' na hata 'Nuru' yake inaanza Kupotea? Sikutaka Kukuambia hili ila sasa nakuambia kwamba hata 'Babaake' amefurahi Yeye 'Kuanguka' kwani 'alishamchoka' Kitambo sana na alikuwa anatafuta tu sababu Kumuondoa. Kuanzia sasa Tega Sikio kuna 'Mashtaka' dhidi yake yatatolewa ili 'Kummaliza' mazima kabisa.
Huyo pimbi hawezi kuteuliwa viti vya Rais, Magufuli amewaambia wateule wake ambao ni professional wa level za proffers wakagombee majimboni ili hizi nafasi 10 ziwe reserved kwa watu wapya atakaowahitaji kuwaingiza serikalini awamu ijayo.

Kwanza kielimu tu Makonda hana qualification za kuwa kwenye cabinet ya Magufuli. Kwa kifupi jamaa ana aleji na vilaza.

Makonda mwana kulitaka, mwana kulipata.

Mungu alivyo mkuu, yeye alitaka kumdhalilisha Gwajima, sasa Mungu anamfundisha wakati yeye anaangukwa Gwajima ndio anazidi kuinuliwa na Mungu.
 
GENTAMYCINE,

Kumbeba Bashite ilikuwa kubeba Bom la nyuklia kwenye uchaguz. Thanks God Magufuli kaona mapema akaona Bora awape mumlee huko dunian nahuku atakutana na walezi nadhani ajiandae kisaikolojia. Hakuwi hata kufuga kuku.
 
Uwezo wako wa Kufikri ni mdogo mno na ndiyo maana mara kwa mara huwa 'nakudharau' sana hapa Jamvini ( JF ) Hivi Mbunge wa Kuteuliwa huwa anakuwa na Mvuto kama yule Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi kwa Kumuamini na Mapenzi yao Kwake? Hata kama 'Babaake' sijui atamteua kama ambavyo Wewe unataka ila ukweli utabaki pale pale kuwa katika 'Mchakato' mzima kuanzia Kutia Nia Kwake na hadi kusubiria Matokeo rasmi huku Dodoma hakuaminiwa na ametoswa kama hivi.

Na ili ujione kuwa kweli huna Akili ( yaani ni Mpumbavu Mwandamizi ) hapa Jamvini sasa kama kumbe huyo 'Mpuuzi' wako alijua kuwa 'Babaake' iwe isiwe katika zile nafasi zake Kumi ( 10 ) atamteua ilikuwaje akatia nia? Kwanini asingeendelea tu na Nafasi aliyokuwa nayo ili asubirie huko Kuteuliwa? Na kama alijua kuwa anaweza kuja 'Kuteuliwa' imekuwaje ametumia Pesa nyingi sana 'Kuhonga' Wajumbe huko Kigamboni?

Labda nimalizie tu kwa Kukuuliza Swali je, umeshajiuliza ni kwanini hivi sasa huyo 'Mpuuzi' ameanza 'Kukonda' na hata 'Nuru' yake inaanza Kupotea? Sikutaka Kukuambia hili ila sasa nakuambia kwamba hata 'Babaake' amefurahi Yeye 'Kuanguka' kwani 'alishamchoka' Kitambo sana na alikuwa anatafuta tu sababu Kumuondoa. Kuanzia sasa Tega Sikio kuna 'Mashtaka' dhidi yake yatatolewa ili 'Kummaliza' mazima kabisa.
Ccm ni ile ilee
Ooohhh ni ilee ileeeee
 
Asante Mkuu na sasa Mimi na Kamati yangu hii 'tunajitafakari' je, tukaweke tena 'Fitna' Kawe Mdee wa CHADEMA apite au 'Tumchunie' Mchungaji?
Mchungaji muacheni mkuu. Anachukua nafasi ya Mama Rwakatare, ni muhimu watu kama hao kuwa nao angalau kwa uchache
 
Back
Top Bottom