Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati kamati kamat asanten
Hongera mwenyekiti kwa kazi iliyotukuka,mjivuni bushstar chaliiii hadi raha
Genta Genta .
Jamaa kakonda au anaenda jim kila saa, tujifunze majivuno, dharau haifai kwenye harakati na jamaa alikua mfitini na mchonganishi inaeza kua sababu ya watu kufurahia anguko lake
aah wapi... huyu lazima atarejeshwa na baba mtu kwa mlango wa uani.
kama hatakuwa RC wa Dar tena au Arusha basi atagewa uwaziri Home Affairs au Defence.
trust me. ain't start partying....yet.
Tayari anachunguzwa kwa matumizi mabaya ya ofisi. Mengine hatuwezi kuyasema hapa kwa kuzingatia masharti na vigezo vya jukwaa letu kwa sasa ni hayo...
Huyo pimbi hawezi kuteuliwa viti vya Rais, Magufuli amewaambia wateule wake ambao ni professional wa level za proffers wakagombee majimboni ili hizi nafasi 10 ziwe reserved kwa watu wapya atakaowahitaji kuwaingiza serikalini awamu ijayo.Uwezo wako wa Kufikri ni mdogo mno na ndiyo maana mara kwa mara huwa 'nakudharau' sana hapa Jamvini ( JF ) Hivi Mbunge wa Kuteuliwa huwa anakuwa na Mvuto kama yule Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi kwa Kumuamini na Mapenzi yao Kwake? Hata kama 'Babaake' sijui atamteua kama ambavyo Wewe unataka ila ukweli utabaki pale pale kuwa katika 'Mchakato' mzima kuanzia Kutia Nia Kwake na hadi kusubiria Matokeo rasmi huku Dodoma hakuaminiwa na ametoswa kama hivi.
Na ili ujione kuwa kweli huna Akili ( yaani ni Mpumbavu Mwandamizi ) hapa Jamvini sasa kama kumbe huyo 'Mpuuzi' wako alijua kuwa 'Babaake' iwe isiwe katika zile nafasi zake Kumi ( 10 ) atamteua ilikuwaje akatia nia? Kwanini asingeendelea tu na Nafasi aliyokuwa nayo ili asubirie huko Kuteuliwa? Na kama alijua kuwa anaweza kuja 'Kuteuliwa' imekuwaje ametumia Pesa nyingi sana 'Kuhonga' Wajumbe huko Kigamboni?
Labda nimalizie tu kwa Kukuuliza Swali je, umeshajiuliza ni kwanini hivi sasa huyo 'Mpuuzi' ameanza 'Kukonda' na hata 'Nuru' yake inaanza Kupotea? Sikutaka Kukuambia hili ila sasa nakuambia kwamba hata 'Babaake' amefurahi Yeye 'Kuanguka' kwani 'alishamchoka' Kitambo sana na alikuwa anatafuta tu sababu Kumuondoa. Kuanzia sasa Tega Sikio kuna 'Mashtaka' dhidi yake yatatolewa ili 'Kummaliza' mazima kabisa.
BashiteeeeNa haka kawimbo kachezwe sana siku hiyoView attachment 1543097
Wembe ule ule ni kugeuza tu upande wa piliAsante Mkuu na sasa Mimi na Kamati yangu hii 'tunajitafakari' je, tukaweke tena 'Fitna' Kawe Mdee wa CHADEMA apite au 'Tumchunie' Mchungaji?
Alizidi nyodo hadi kuwafananisha wanaume wanaomiliki IST na mademu,kusema kweli alikera wengi.Kwa niliyoyasikia 'chini ya Kapeti' kwa yanayoandaliwa dhidi yake kuna uwezekano mkubwa akaja kuwa 'Fukara' wa Kutupwa kuliko Mimi na Wewe.
Ccm ni ile ileeUwezo wako wa Kufikri ni mdogo mno na ndiyo maana mara kwa mara huwa 'nakudharau' sana hapa Jamvini ( JF ) Hivi Mbunge wa Kuteuliwa huwa anakuwa na Mvuto kama yule Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi kwa Kumuamini na Mapenzi yao Kwake? Hata kama 'Babaake' sijui atamteua kama ambavyo Wewe unataka ila ukweli utabaki pale pale kuwa katika 'Mchakato' mzima kuanzia Kutia Nia Kwake na hadi kusubiria Matokeo rasmi huku Dodoma hakuaminiwa na ametoswa kama hivi.
Na ili ujione kuwa kweli huna Akili ( yaani ni Mpumbavu Mwandamizi ) hapa Jamvini sasa kama kumbe huyo 'Mpuuzi' wako alijua kuwa 'Babaake' iwe isiwe katika zile nafasi zake Kumi ( 10 ) atamteua ilikuwaje akatia nia? Kwanini asingeendelea tu na Nafasi aliyokuwa nayo ili asubirie huko Kuteuliwa? Na kama alijua kuwa anaweza kuja 'Kuteuliwa' imekuwaje ametumia Pesa nyingi sana 'Kuhonga' Wajumbe huko Kigamboni?
Labda nimalizie tu kwa Kukuuliza Swali je, umeshajiuliza ni kwanini hivi sasa huyo 'Mpuuzi' ameanza 'Kukonda' na hata 'Nuru' yake inaanza Kupotea? Sikutaka Kukuambia hili ila sasa nakuambia kwamba hata 'Babaake' amefurahi Yeye 'Kuanguka' kwani 'alishamchoka' Kitambo sana na alikuwa anatafuta tu sababu Kumuondoa. Kuanzia sasa Tega Sikio kuna 'Mashtaka' dhidi yake yatatolewa ili 'Kummaliza' mazima kabisa.
Mchungaji muacheni mkuu. Anachukua nafasi ya Mama Rwakatare, ni muhimu watu kama hao kuwa nao angalau kwa uchacheAsante Mkuu na sasa Mimi na Kamati yangu hii 'tunajitafakari' je, tukaweke tena 'Fitna' Kawe Mdee wa CHADEMA apite au 'Tumchunie' Mchungaji?