Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaaaaaaam!
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu,kwa kazi nzuri ya
kuweza kuweka jukwaa la wapendanao,hatimae na mimi nimempata
mpenzi wa moyo kwa sifa zilezile nilizotoa!
Pia nawashukuru wote walioniPM na kupenda wawe na mimi nao nawashukuru sana,
kwani waliniamini na mimi sina budi kusema aksante kwao,ila pole kwa kuwa
nafasi ilikuwa moja tu isingewezekana kwa wengine japo nao walikuwa
na lengo na nia njema.Mchango wao kwangu utaishi ndani yangu milele.
Special thanks goes to my loving husband to be!
(James!)my love for you is unconditional and promise to love you the same way!
Till Death do us part.
Wishing all the best Jamii FORUM GROUP,coz you deserve the best for your
support,love and hospitality along the way!
With love!
Mzee unakaba kila kona...lol!!
usimpe tundi hadi akuoe na mkapime ngoma.... sio baadae uje kulia humu ooooooh jf imeniuaa
Utajuaje kama mic inafanya kazi pasipo kuijaribu?
Mi mzima kabisa Ivuga wewe je?
Unaona wengine wanavo fanya fasta fasta?
sio kukaa tu unaongea ongea bila action
kuanzia politics had sosho afea,hahahahah
mmh! hayaa
Salaaaaaaam!
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu,kwa kazi nzuri ya
kuweza kuweka jukwaa la wapendanao,hatimae na mimi nimempata
mpenzi wa moyo kwa sifa zilezile nilizotoa!
Pia nawashukuru wote walioniPM na kupenda wawe na mimi nao nawashukuru sana,
kwani waliniamini na mimi sina budi kusema aksante kwao,ila pole kwa kuwa
nafasi ilikuwa moja tu isingewezekana kwa wengine japo nao walikuwa
na lengo na nia njema.Mchango wao kwangu utaishi ndani yangu milele.
Special thanks goes to my loving husband to be!
(James!)my love for you is unconditional and promise to love you the same way!
Till Death do us part.
Wishing all the best Jamii FORUM GROUP,coz you deserve the best for your
support,love and hospitality along the way!
With love!
Nasikitika Hongera sana kwa kumpata Eng James. Mungu awatangulie katika safari ya meli ya wapendanao. nilikupm hukujibu haya bwana.