Sijui nianze kwa kusema nini lakini kaka Paxman,umenitoa machozi sana
tena machozi ya simanzi kwani pamoja na mimi kukuzidi umri kidogo lakini
una hekima busara na ushauri mzuri sana,
Na mimi dada yako nakuahidi kufuata yote uliyonishauri kwa kuwa yanajenga
na yataenda kujenga ndoa yangu Na Mungu akitangulizwa,
Ni kweli haikuwa kazi rahisi hata kidogo ya kuchuja,tena karibia wote zaidi ya 50
kuwa na sifa sawa na kasi sawa ya ufuatiliwaji.sasa nilichoamua ni kumchagua ,,
mmojawapo mapema iwezekanavyo na kuwekeana mkakati wa maisha ndani ya mwaka
huu kuisha,na bahat nzuri nae alikuwa anahitaji mke menye sifa kama zangu ili aoe
sasa ni ajabu kwa wengine inaonekana kama ni mapema au kwa nini sikuchukua muda
muda mrefu kuwapima na wengine,ni kweli lakini ukumbukwe katika hali ya ubinadamu
jambo hilo ukiliruhusu kwamba kwa wiki nionane na watano,wiki ijayo 6,na kadhalika
ili nimpate mmoja wapo al last I could end up lossing everything including James
who seem to me to be a perfect match,so kwa kutambua binadamu wote hatujakamilika
nilichofanya ni kumkubari mmoja na kuanza mipango kama ya kwenda kupima na
kupanga future ikiwemo kutambulishana kwa ndugu wa karibu na baadae kidogo kwa
wazazi.
Napenda kukushukuru sana wewe pamoja na wengine walionitakia heri,hata wale
walionena tofauti nao nawashukuru,pia nisisitize tu kwamba kwa wengine wakubari
kama kweli nimempata mtu mana mara ya kwanza nilitoa no ya simu kwa walionoPM
sasa pamoja na kuwaaambia kama tayari nimepata hawakubari wakijua sio rahisi
mapema.ila ukweli ndio huo.niPm nitakupa o,ili hatua ikifika karibia na sherehe basi
ukaribishwe hakika wewe ni rafiki mwema,and thanks for your compliment to me.
I assure you to be the honest wife to James and to be loving wife till the end of
time and this is not just like im being too OPTIMIST but this is for sure and we know
what we are doing and go for it!because both of us we share the same history.although
it may be different but due to that we have to be together for the rest of our lives!
This is matter of decision btn us.
Thanks so much,hope we will become friends forever,never let you go!!!