Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

Hongera mwaya; Mungu awayangulie kwenye hatua yenu ya kwanza ya kujuana!

James, umepata dhahabu. The fact kuwa amejitangaza inaonesha anajua nini anachokitaka kwenye life, na maybe anaweza kuwa desparate na si kwamba she couldn't have anybody. So naamini nawe ni mature na unajua unachotaka! Si busara, wala utu, wala ustasrabu na wala uanaume; kucheza na feelings za mtu. Hivyo bro tuko nyuma yako na ur new found love katika process zote za kufamiana, kupendana na kuishi pamoja!

Nawatakia wote, mafanikio na furaha za kuzidi!
Enjoy it!
 

Mbalikiwe sana!
 
Sasa mtakatifu ndo kukaba gani huku! Huyu anaesikitikaa anamshukuru husbend to be, unamaanisha Mwali siku hizi is on the down low side?
Tafuta mchuma mwingine banaa, kama gari zuri unalo (hivi ni baby walker ile?), sura nzuri umejaaliwa... Usimchafue Mwali wetu banaa!
 
Hmm ngoja niangalie upepo namimi ntafute wa future,lol
hongera mpendwa, uchange Id pia
 
Likibuma usisite kurudi hapa kutoa taarifa
OTIS
 
Mmh wiki kadhaa tu hzi unasema unampenda kihivyo? Napata mashaka,ila hongera zako.
 
Ikitokea bahati mbaya mmeachana usisahau kututaarifu ehhh
 

Hongera zenu. ILA KWA SISI TULIOA TUNAAMINI MAPENZI HUWA HAYAJI GHAFLA HIVYO LABDA YAWE YANA NGUVU YA MAULANA. ningependa iwe kama kwenye red. Hongereni sana
 
Nasikitika Hongera sana kwa kumpata Eng James. Mungu awatangulie katika safari ya meli ya wapendanao. nilikupm hukujibu haya bwana.

Hellow my beloved sister,I replied.may be was a network problem.
ok you just PM me and dont forget your tel no,to ring you!
Thanks for your compliment,you are a wonderful and special sister to make
so let ut start a move of friendship!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…