GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba nipeni maeneo mliopo ili nije mnipe mawili matatu ya Jiji hili kwani kila Kitu Kwangu sasa nakiona ni kipya.
Pongezi nyingi sana kwa Shirika la Ndege la Kenya Airways kwa Huduma zao nzuri na hasa hasa Rubani wa Kike wa jana Captain Fiona Wambui kwa Kurusha Ndege kwa Ustadi mkubwa kiasi kwamba kuna Ndege ya nchi moja hivi ( nimeisahau Jina kwa sasa na Ndege zao pia ni mbaya ) kuna Rubani wake Mmoja wa Kiume akiwarusheni utaona kuna tofauti kubwa sana kati yake na huyu wa Kike wa Kenya Airways.
UKINUNA UWE NA SABABU, NA MWENYEZI MUNGU KAMWE HUWA HAPANGIWI WAKATI WA KUMBARIKI MJA WAKE.
GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"