GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Na baada ya kuwa hapa kwa miaka yangu Miwili nitahamia Ikulu ya Rwanda nakuomba hili nalo kuanzia leo uliweke Akilini.Hiyo pesa ni kubwa mno kwa huyu jobless aliyetukuka, kama kweli amepata hiyo fursa acha afurahie tu..... alipigika sana kwa miaka mingi tangu ahitimi kile chuo uchwara.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE.
Kudadadeki....!!