Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

I love Kampala, ukipata nafasi nenda pale GOODSHEPHERD HIGH SCHOOL pale Mengo, afu weka picha zake humu.

Siku moja ntarudi Kampala.
 
Mtu hujawahi hata Kupanda Ndege, huna Pasipoti na hata hujawahi Kukaa Ikulu yoyote ile duniani na kupokelewa kwa hadhi ya VIP Airport, kupanda Benz na VX za Ikulu tokea Uzaliwe mpaka unakoelekea Kufa / Kufariki Kwako utaweza kutaka Kushindana nami NILIYEBRKIWA na ninayeendelea KUBARIKIWA?

Najua unachokitaka ni Kunitega kwa Mbinu ya Kipumbavu na ya Kitoto ili nikutajie jina la Hoteli hivyo bado haujanipata Ok?

Mimi ndiyo GENTAMYCNE "Purely Talented, Charismatic Fella Game Changer and Entertainer' na pia ni The King pia Ok?
Sema upo kitongoji cha Uganda kijijini kwenu Bumangi acha mbwembwe. Karibu sana hapa Mwikoko kwa Mwegora tule mazara na ugali wa udaga
 
ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWA MAFURIKO YAKO YA BARAKA NA NAKUOMBA ZIDI KUFUNGUA MILANGO WANGA WAUMIE.
 
Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba nipeni maeneo mliopo ili nije mnipe mawili matatu ya Jiji hili kwani kila Kitu Kwangu sasa nakiona ni kipya.

Pongezi nyingi sana kwa Shirika la Ndege la Kenya Airways kwa Huduma zao nzuri na hasa hasa Rubani wa Kike wa jana Captain Fiona Wambui kwa Kurusha Ndege kwa Ustadi mkubwa kiasi kwamba kuna Ndege ya nchi moja hivi ( nimeisahau Jina kwa sasa na Ndege zao pia ni mbaya ) kuna Rubani wake Mmoja wa Kiume akiwarusheni utaona kuna tofauti kubwa sana kati yake na huyu wa Kike wa Kenya Airways.

UKINUNA UWE NA SABABU, NA MWENYEZI MUNGU KAMWE HUWA HAPANGIWI WAKATI WA KUMBARIKI MJA WAKE.

GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
We sii bure,huyo kama si shemeji yako mkenya,ni nyumba mupya kwako ,hivyo kama wewe wa nyumbani jua nyumbani ni nyumbani hata kama shimoni,usiache kutupa mrejesho wa Kampala na maendeleo yake🤔
 
It's not for nothing, if it's not your Kenyan brother-in-law, it's a new home for you, so if you're from home, know that home is home even if it's in a ditch, don't stop giving us the return of Kampala and its development🤔
Rubbish and Nonsensical.
 
Inside10 nilikupa Assignment ya Rubani wa Kike Captain Fiona Wambui wa Shirika la Ndege la Kenya ( Kenya Airways ) aliyenirusha jana kutoka JNIA hadi JKIA na ukasema kwa Kukurupuka Kwako na kutaka Sifa ukidhani kuwa Unaniumbua au Mimi nadanganya tu hapa. Tafadhali nasubiri mrejesho wako ili sasa kati yangu na Wewe nani ndiyo aonekane Mshamba, Mswahili na Mpumbavu Tukuka Ok?
Nyie ndo wale mnasemaga ukipata ajali kwenye ndeg ni sifa
 
Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba nipeni maeneo mliopo ili nije mnipe mawili matatu ya Jiji hili kwani kila Kitu Kwangu sasa nakiona ni kipya.

Pongezi nyingi sana kwa Shirika la Ndege la Kenya Airways kwa Huduma zao nzuri na hasa hasa Rubani wa Kike wa jana Captain Fiona Wambui kwa Kurusha Ndege kwa Ustadi mkubwa kiasi kwamba kuna Ndege ya nchi moja hivi ( nimeisahau Jina kwa sasa na Ndege zao pia ni mbaya ) kuna Rubani wake Mmoja wa Kiume akiwarusheni utaona kuna tofauti kubwa sana kati yake na huyu wa Kike wa Kenya Airways.

UKINUNA UWE NA SABABU, NA MWENYEZI MUNGU KAMWE HUWA HAPANGIWI WAKATI WA KUMBARIKI MJA WAKE.

GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

Uongo
 
Mkuu

I have only one ID,Wyatt Mathewson,ain't nothin' else!

Nikubadilishie ID wewe kama nani kwa mfano?

Mkuu,nabandua wanawake,those are the ones Im interested in,sina interest na wanaume wenzangu!

Dawa ya sindano ipi mkuu?

Umejaa poverty in such a way kutoka TZ-UG unaona ni sindano ya dawa....Chuki na wivu kutoka TZ kwenda UG?

Really?

Grown ass man unaongelea kupanda ndege like a kindergarden kid,like really?

Una ushamba kilo kama 100 hivi
Mkuu unapoteza muda wako bure kubishana na huyu mgonjwa kwanza hata hayupo Kampala. Hata hiyo Dar yenyewe hajawahi kufika anafanya kuisikia tu kwenye redio. Anaishi huko Bunda vijijini mkoani Mara. .
 
Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba nipeni maeneo mliopo ili nije mnipe mawili matatu ya Jiji hili kwani kila Kitu Kwangu sasa nakiona ni kipya.

Pongezi nyingi sana kwa Shirika la Ndege la Kenya Airways kwa Huduma zao nzuri na hasa hasa Rubani wa Kike wa jana Captain Fiona Wambui kwa Kurusha Ndege kwa Ustadi mkubwa kiasi kwamba kuna Ndege ya nchi moja hivi ( nimeisahau Jina kwa sasa na Ndege zao pia ni mbaya ) kuna Rubani wake Mmoja wa Kiume akiwarusheni utaona kuna tofauti kubwa sana kati yake na huyu wa Kike wa Kenya Airways.

UKINUNA UWE NA SABABU, NA MWENYEZI MUNGU KAMWE HUWA HAPANGIWI WAKATI WA KUMBARIKI MJA WAKE.

GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
mtani,kolouzdad,mbumbumbu niliondoka kampala baada ya kumaliza masomo 2016 sijarudi tena ila nna mpango wa kuja kutembea kabla ya mwezi wa 6 nitakutafuta...mji mtamu sana huo
 
Nipo hadi June 2026 na kama Museveni au Muhoozi watakuwa Marais nitaendelea kuwepo wasipokuwa nahamia Rwanda.
 
Asante kwa huo Mwaliko wako Mkuu ila kwa sasa movements zangu zote ziko Controlled na Monitored na Watu wa State.
Dah, mkuu kama ni hivyo itakuwa ngumu sana. Nilitaka nikupeleke chimbo moja la hatari kwelikweli. Kama una ulinzi mkubwa hivyo haitowezekana tena, msalimie sana Muhoozi K.
 
Zimefika Mkuu Jumapili nakutana nae Nyumbani Kwake kama ambavo nae tulimkaribisha Home Kwetu Dar mwaka 2014.
 
Ndege inaongozwa na Mwanamke mie nisingepanda.na siwezi kupanda.ni risk sana
 
Back
Top Bottom