Kama kuna Post ambayo nimeipenda na naiheshimu basi ni hii yako Mkuu. On a serious note kweli nataka kutumia huu uwepo wangu wa hapa Ikulu Uganda kuutumia katika Kushirikiana na Kuwatafia Fursa Watanzania ama kwa kuwapa Connection za kuja huku kufanya Kazi au Waganda kuja huko Tanzania kufanya Kazi.
Kuna Miradi kadhaa Rais Museveni na Mwanae Muhoozi wanataka kuianzisha huko Tanzania hivyo najua nitatakiwa kuwapigia pande Watanzania hivyo nami kwakuwa sina Uchoyo, Wivu na Roho Mbaya nitahakikisha baadhi ya Watanzania wanafaidika na kama hutojali njoo PMi ili unipe contacts zako ili Mradi ukianza nawe uwemo.
Nimependa mno hii post yako tofauti na za Wapumbavu wengi hapo juu wanaodhani kuwa GENTAMYCINE nafanya mzaha.