Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

Ndege inaongozwa na Mwanamke mie nisingepanda.na siwezi kupanda.ni risk sana
Na wakati nashuka kwa Ustadi Mkubwa wa Urushaji wake ambao ulinivutia kama ilivyo Nature yangu ya Udadisi na Kuchunguza Mambo / Matukio nililazimika kuwauliza wale Wahudumu Historia yake Madam Captain Fiona Wambui wa Kenya Airways na wakasema ana Uzoefu wa Kurusha Ndege za Masafa yote marefu unayoyajua na hadi Ndege Kubwa nikaishia tu Kuuliza ameshaolewa nikajibiwa Kitambo sana na Mumewe ni Mfanyabiashara mkubwa tu Jijini Naiobi.
 
Tumepata mualiko ila mageti yamefungwa ya kupata contacts huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…