Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

Huu mkataba wa bandari ni blessings in disguise.
Umetusaidia kujuwa wapi pana udhaifu mkubwa.
Sasa mjadala wa lugha ya kufundishia kati ya kiswahili na kiingereza kuanzia elimu ya awali hadi elimu ya juu umepoata case study.
Ofisi kubwa ya umma haiwezi kuandika lugha mbovu namna ile kwenye nyaraka (document) ya kisheria.
Alieandika tatizo, aliye hakiki tatizo, aliyeweka saini hilo tamko ni tatizo, aliyepewa hiyo document akatekeleza amri kwa kupewa nguvu za kisheria na huo waraka ni tatizo pia.
 
"...to act individually"
Aisee hata mimi naweza kuwa wizarani na nikafanya mambo makubwa muhimu na ya kizalendo kwa hili taifa. Ngoja niingia ktk siasa sasa.
 
😂😂😂Huwa najiuliza maswali kwan kile kingereza tunachofundishwaga elimu za awali kina maana gani mbn ubongo huwaga haunasi mwisho wa siku tunatia aibu kama ivi
 
Huyu mama atakuwa kahongwa hela ndefu sana tena sana hadi kufikia level ya kujitoa ufahamu kwa style hii. Ni kama walikuwa wanaharakisha dili. Amesaini MWENYEWE hili dili, tena bila kuelewa amesaini nini, something which is beyond any logical comprehension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…