Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

Huu mkataba wa bandari ni blessings in disguise.
Umetusaidia kujuwa wapi pana udhaifu mkubwa.
Sasa mjadala wa lugha ya kufundishia kati ya kiswahili na kiingereza kuanzia elimu ya awali hadi elimu ya juu umepoata case study.
Ofisi kubwa ya umma haiwezi kuandika lugha mbovu namna ile kwenye nyaraka (document) ya kisheria.
Alieandika tatizo, aliye hakiki tatizo, aliyeweka saini hilo tamko ni tatizo, aliyepewa hiyo document akatekeleza amri kwa kupewa nguvu za kisheria na huo waraka ni tatizo pia.
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
"...to act individually"
Aisee hata mimi naweza kuwa wizarani na nikafanya mambo makubwa muhimu na ya kizalendo kwa hili taifa. Ngoja niingia ktk siasa sasa.
 
😂😂😂Huwa najiuliza maswali kwan kile kingereza tunachofundishwaga elimu za awali kina maana gani mbn ubongo huwaga haunasi mwisho wa siku tunatia aibu kama ivi
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Huyu mama atakuwa kahongwa hela ndefu sana tena sana hadi kufikia level ya kujitoa ufahamu kwa style hii. Ni kama walikuwa wanaharakisha dili. Amesaini MWENYEWE hili dili, tena bila kuelewa amesaini nini, something which is beyond any logical comprehension.
 
"...to act individually"
Aisee hata mimi naweza kuwa wizarani na nikafanya mambo makubwa muhimu na ya kizalendo kwa hili taifa. Ngoja niingia ktk siasa sasa.

Kwamba kwenye Mkataba huu, 'agent' wa Dubai ana-act 'individually'? yaani 'in his individual capacity'?

Duh hii sasa hatari !

-Kaveli-
IMG_20230714_143158.png
 
Back
Top Bottom