"Mayalla kwetu maana yake njaa" RIP JPMPascal Mayalla mwanasheria njoo na ufafanuzi wa huu mkanganyiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mayalla kwetu maana yake njaa" RIP JPMPascal Mayalla mwanasheria njoo na ufafanuzi wa huu mkanganyiko
Huo ni udhaifu wake asisingizie wateule wake, japo likifanya vizuri sifa zote kwake likifanya vibaya lawama kwa wateule wakeAtengue kwanza hao waliomsainisha ma document ya aibu namna hii!
Hata Kijiji kina umakini bhana.! Hii ni nchi
Swali yeye hawezi kusoma hata preamble?Atengue kwanza hao waliomsainisha ma document ya aibu namna hii!
Hata Kijiji kina umakini bhana.! Hii ni nchi
😁😁😁, Kwamba hata asome summary na conclusion tu.Swali yeye hawezi kusoma hata preamble?
"...to act individually"Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
From the beginning ulikuwa unatetea huu mkataba. Tumeweka rejea.Wakuu hatimaye nimeiva kwenye sheria
Sawa bossFrom the beginning ulikuwa unatetea huu mkataba. Tumeweka rejea.
Huyu mama atakuwa kahongwa hela ndefu sana tena sana hadi kufikia level ya kujitoa ufahamu kwa style hii. Ni kama walikuwa wanaharakisha dili. Amesaini MWENYEWE hili dili, tena bila kuelewa amesaini nini, something which is beyond any logical comprehension.Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
HII ITAKUWA TABIA YA WAPEMBA REJEA KWA FEI TOTOMaza hasomi chochote yeye huwa ni kusaini tu kwa kuambiwa
Ni aibu kubwa sn asee
Wazanzibar wote wapo hivyoHII ITAKUWA TABIA YA WAPEMBA REJEA KWA FEI TOTO
"...to act individually"
Aisee hata mimi naweza kuwa wizarani na nikafanya mambo makubwa muhimu na ya kizalendo kwa hili taifa. Ngoja niingia ktk siasa sasa.
Kwamba kwenye Mkataba huu, 'agent' wa Dubai ana-act 'individually'? yaani 'in his individual capacity'?
Duh hii sasa hatari !
-Kaveli-