Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasho liliwatoka kufafanua hiyo kitu na haikuwezekana. At wakasema tuangalie general content. pia alisema typing error, kweli serikali na hao waliosain walishindwa kurekebisha?Watawala wamepata somo kwenye hili, siku zote huwa naamini hakuna ukimya usio na ukomo, haupo, ni uvumilivu tu ambao kwa kadri mtu anavyozidi kujaribiwa, iko siku lazima uvumilivu utamshinda, hapo ndipo unaona watu wanaamua kusimama na kuongea waziwazi bila hofu licha ya vitisho vya polisi.
Wale wakina Dr. Nshalla, na Adv. Mwabukusi ni mfano mdogo sana wa kuthibitisha hoja yangu, lakini naamini kabisa, hata kama wasingesema wao, bado wapo wengine wangesema, siku zote naamini, hakuna kitu kigumu na kibaya hapa duniani kama kuvumilia maumivu ya kuonekana mjinga kwa wengine.
taratibu... Fisi huwezi kumtoa shambani kwa matusiNchi Ina lidudu limekaa ofisi kuu kazi yake kunya na kujamba wapi na wapi
SOMA ARTICLE 28Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
SOMA ARTICLE 28Jasho liliwatoka kufafanua hiyo kitu na haikuwezekana. At wakasema tuangalie general content. pia alisema typing error, kweli serikali na hao waliosain walishindwa kurekebisha?
kwamba hiyo article28 ndio inaondoa typing error? jibu Ndio au HapanaSOMA ARTICLE 28
kwaio jamaa wa dubai walijuwa wanasaini kitu haramu, ndio mana hawakuweka majina ya mtoa ruhusa (kama sisi alivyofanya Samia)
Ukweli ni kwamba ya kwao ndiyo bora kabisa, kwa sababu ni "nchi inayojisimamia kama nchi", hii ya kwetu ni kama mali ya Samia anayetoa ruhusa kwa kila jambo linaloihusu nchi.kwaio jamaa wa dubai walijuwa wanasaini kitu haramu, ndio mana hawakuweka majina ya mtoa ruhusa (kama sisi alivyofanya Samia)
Samia akiwa na "UZALENDO" kwa nchi hii, itakuwa sahihi kusema kila mtu anayeishi humu nchini mwetu na ni raia wa hapa ni mzalendo.Zaidi ya maneno matupu, huyu Rais wa sasa ni nini haswa KIPIMO CHA UZALENDO KWA JAMHURI YA TANZANIA? Nazungumzia HASWA KABLA na lakini pia BAADA ya kuukwa Urais. Amefanya mambo gani ambayo yanamfanya kwa wadhifa aliyo nao sasa kama Rais wa Jamhuri kuwa Raia Mzalendo NAMBA ONE? Kwa sababu kipimo cha Uzalendo kinaanzia kwa Rais.
Mazuzu wala hayakuwa na muda wa kusoma. Yaliambiwa pitisheni tu hauna neno.Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)
Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?
Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?
Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!
Picha ya kwanza...
View attachment 2687502
Picha ya pili...
View attachment 2687506Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Uvivu tu mtu Ana full instruments lakini anadanganywaMaza hasomi chochote yeye huwa ni kusaini tu kwa kuambiwa
Amefungulia weziZaidi ya maneno matupu, huyu Rais wa sasa ni nini haswa KIPIMO CHA UZALENDO KWA JAMHURI YA TANZANIA? Nazungumzia HASWA KABLA na lakini pia BAADA ya kuukwa Urais. Amefanya mambo gani ambayo yanamfanya kwa wadhifa aliyo nao sasa kama Rais wa Jamhuri kuwa Raia Mzalendo NAMBA ONE? Kwa sababu kipimo cha Uzalendo kinaanzia kwa Rais.
Ubongo wa mzanzibar huwa upo fresh 95% maana hautumiki hata kdgUvivu tu mtu Ana full instruments lakini anadanganywa
Halafu mazuzu yenyewe yana majina makubwa kweli kweli: mara profesa, mara daktari, mara mhadhiri...yaani hadi yanatia huruma!Mazuzu wala hayakuwa na muda wa kusoma. Yaliambiwa pitisheni tu hauna neno.