Asanteni Watanzania, hatimaye kamwanga ka uelewa kanaanza kuchomoza na hivyo tumaini lililopotea kuanza kurejea!

Hata mkutano wa leo haujajibu maswali mazito hata moja. Sana sana serikali imezidi kujichanganya kwa maelezo yasiyo na mbele wala nyuma. Masikini Watanganyika...
 
Watawala wamepata somo kwenye hili, siku zote huwa naamini hakuna ukimya usio na ukomo, haupo, ni uvumilivu tu ambao kwa kadri mtu anavyozidi kujaribiwa, iko siku lazima uvumilivu utamshinda, hapo ndipo unaona watu wanaamua kusimama na kuongea waziwazi bila hofu licha ya vitisho vya polisi.

Wale wakina Dr. Nshalla, na Adv. Mwabukusi ni mfano mdogo sana wa kuthibitisha hoja yangu, lakini naamini kabisa, hata kama wasingesema wao, bado wapo wengine wangesema, siku zote naamini, hakuna kitu kigumu na kibaya hapa duniani kama kuvumilia maumivu ya kuonekana mjinga kwa wengine.
Jasho liliwatoka kufafanua hiyo kitu na haikuwezekana. At wakasema tuangalie general content. pia alisema typing error, kweli serikali na hao waliosain walishindwa kurekebisha?
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
SOMA ARTICLE 28
 
Viongozi hawana uzalendo kabisa yani wao wanaangalia matumbo yao tu.
 
Zaidi ya maneno matupu, huyu Rais wa sasa ni nini haswa KIPIMO CHA UZALENDO KWA JAMHURI YA TANZANIA? Nazungumzia HASWA KABLA na lakini pia BAADA ya kuukwa Urais. Amefanya mambo gani ambayo yanamfanya kwa wadhifa aliyo nao sasa kama Rais wa Jamhuri kuwa Raia Mzalendo NAMBA ONE? Kwa sababu kipimo cha Uzalendo kinaanzia kwa Rais.
 
kwaio jamaa wa dubai walijuwa wanasaini kitu haramu, ndio mana hawakuweka majina ya mtoa ruhusa (kama sisi alivyofanya Samia)
Ukweli ni kwamba ya kwao ndiyo bora kabisa, kwa sababu ni "nchi inayojisimamia kama nchi", hii ya kwetu ni kama mali ya Samia anayetoa ruhusa kwa kila jambo linaloihusu nchi.
 
Zaidi ya maneno matupu, huyu Rais wa sasa ni nini haswa KIPIMO CHA UZALENDO KWA JAMHURI YA TANZANIA? Nazungumzia HASWA KABLA na lakini pia BAADA ya kuukwa Urais. Amefanya mambo gani ambayo yanamfanya kwa wadhifa aliyo nao sasa kama Rais wa Jamhuri kuwa Raia Mzalendo NAMBA ONE? Kwa sababu kipimo cha Uzalendo kinaanzia kwa Rais.
Samia akiwa na "UZALENDO" kwa nchi hii, itakuwa sahihi kusema kila mtu anayeishi humu nchini mwetu na ni raia wa hapa ni mzalendo.

Sioni lolote toka kwa Samia linaloelezea uzalendo wake.

Hata kulizungumzia tu neno hilo, ni kama anaona aibu sana kulazimu kulitaja.

Samia hana uzalendo wowote kwa Tanzania.; na imedhihirika zaidi kuwa hivyo kutokana na uongozi wake

Huyu haguswi kabisa na hali ya maisha ya wananchi wake anaowaongoza. Ana 'interest' na mahala kwingine na makundi mengine anayojihusisha nayo.
 
Daaaa aiseeee dalali katuuza yani!

Point.jpg

R.I.P Tanganyika!
 
Hizi picha mbili (screen shots) zimebeba ujumbe mzito kuliko maneno elfu moja (a picture is worth a thousand words)

Nani angeota ndoto kwamba iko siku uzalendo ungechukua nafasi yake katika kulitetea taifa letu hili?

Nani aliota ndoto kuwa iko siku Watanzania watazinduka kutoka usingizi wa miaka zaidi ya nusu karne?

Kondoo mwenye ujasiri wa kuongoza jeshi la simba ni maradufu ya simba anayeongoza jeshi la kondoo!

Picha ya kwanza...
View attachment 2687502

Picha ya pili...

View attachment 2687506
Serikali yetu tayari imeridhia na Bunge letu limebariki
Watanzania Wazalendo tunahoji, je kulikoni?
Mazuzu wala hayakuwa na muda wa kusoma. Yaliambiwa pitisheni tu hauna neno.
 
Zaidi ya maneno matupu, huyu Rais wa sasa ni nini haswa KIPIMO CHA UZALENDO KWA JAMHURI YA TANZANIA? Nazungumzia HASWA KABLA na lakini pia BAADA ya kuukwa Urais. Amefanya mambo gani ambayo yanamfanya kwa wadhifa aliyo nao sasa kama Rais wa Jamhuri kuwa Raia Mzalendo NAMBA ONE? Kwa sababu kipimo cha Uzalendo kinaanzia kwa Rais.
Amefungulia wezi
 
Mazuzu wala hayakuwa na muda wa kusoma. Yaliambiwa pitisheni tu hauna neno.
Halafu mazuzu yenyewe yana majina makubwa kweli kweli: mara profesa, mara daktari, mara mhadhiri...yaani hadi yanatia huruma!

Asanteni tena Watanganyika kwa kujitoa mhanga kutetea urithi wenu, a luta continua! Hakuna mzanzibari mwenye uchungu na chenu!
 
Back
Top Bottom