Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

What will be the consequences then?
 
-sheria yenyewe huijui Unadhani ukiandika English ndiyo unakuwa na hoja kumbe manyoya
-
Mkuu Saveya,

Usinibagaze kwa ujinga wa mihemko ya kisiasa kinzani; wewe ndio ulinipeleke kusoma na ukapima kwamba sijui chunga maandishi yako haya as may hurl you into the den of abyss for ever lasting tormentations.

Tena natia nakiri kwamba nilichokiandika ndio uhalisia sio sheria za kwako za kufikirika

Jaribu kutembelea kifukunye cha taarifa mahakama labda utaondokana na tongotongo la ujinga wa kisiasa

Leta hapa uthibitisho wa hukumu yoyote ilifunguliwa dhidi ya serikali ya Tanzania kupitia mwanasheria mkuu wa serikali kwakmba maamuzi yaliyofikiwa dhidi yake yalitekelezwa. Umewekewa link ili uje na ushahidi kwa rejea ya kesi hizo. Welcome to the East African Court of Justice - East African Court of Justice

Kitu gani kilitokea kwa kesi hizi?
1. Ref No 9/2016- Rashid Salum Adly Vs AG URT;
2. Ref No. 10/2017-Ololosokwan village Vs AG URT
3. Application No 21/2018 (Arising from Ref No 9/2018) Robert F.Kennedy Human Centre Vs AG URT
4. Ref No.24/2018-Zitto Zuberi Kabwe Vs.AG URT
5. Application No 2/2019-Freeman Mbowe Vs AG URT
6. Ref No.3/2019-Freeman Mbowe Vs AG URT
And many more being ruled on, overruled and stayed without practicable impact

You are advised to provide your views for the benefit of the JF members and not using the fora to undermine others to advance your political affiliations as if you are an extraordinary intellectual to trust. To be precise I am seasoned in kaws of all categoroes, so mind your business.
 
Unafiki wa kiafrika, yaani nao wanataka kujiona wasafi kama wcb wakati utopolo. Tena Uganda ndio wasengerema kweli sitaki hata kuwasikia
 
-Maelezo marefu hoja Hanna
-eti "I'm seasoned in laws of all categories" ungekuwa hivyo usingeandika Tanzania imejitoa kwenye EACJ, instead of kusema AFCHPR especially kwa individuals na NGOS kufile case direct, hii inaonyesha hata Sheria hususan African Charter on Human and Peoples Rights na Protocols zake huzijui, Treaty ya EAC huijui ndio maana unachanganya habari.
-unasema kwamba unaandika uhalisia sio sheria, Mpaka hapa umeonyesha hujui sheria kwa maana tunajadili sheria wewe umejitoa nje ya sheria umejiingiza kwenye 'maelezo yasiyo ya kisheria'
 
They should deal with problems in their countries not tanzania. All this shows how desperate the neighbours who used their economies to thrive by plundering on tanzanian's economy have become. Individuals and multinational corporations which used to plunder on tanzania resources find the going difficult under magufuli.
 
iRubbish.....
 

Mtoto hapigani kwao hana kwenda kupigana kwa jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…