ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Heading Yako na matokeo ikoje?Ujinga gan mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heading Yako na matokeo ikoje?Ujinga gan mkuu?
Matokeo ni mods ndo wakuyaweka apo sio mim game imeisha kwa Asec kushinda goli 1 kwa 0Heading Yako na matokeo ikoje?
Mods sio modeMatokeo ni mode ndo wakuyaweka apo sio mim game imeisha kwa Asec kushinda goli 1 kwa 0
Wewe ndio unajitoa ufahamu...hivi baleke anaa goli ngapi ligi kuu mpaka useme hafungi magoli? Yaani hajafunga mechi 3 tu za klabu bingwa tayari ushasema kuwa mzembe...we umelogwa nn?Usijitoe ufahamu, suala siyo anacheza na nani, Baleke alipokuja Simba ilikuwa nafasi moja tu anakuliza, na alipokuwa anafunga hizo hattrick alikuwa anacheza na hao hao kina Kibu na Saido. Chama ameanza kufanyiwa sub mechi kama 2 tu zilizopita.