Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda wa kucheza kwa step tu sasa hivi
 
Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh apo waydad na yeye anakupigia hesabu akukande
 
ulimshauri kocha au wadau wa jf?
luis hana hadhi hata ya kukaa benchi mtibwa.

Nilichoona Miquison ameisha kabisa,Onana naye hamna kitu,usajili wa Simba una mihemko kuliko kutuliza akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza wachezaji viwango vyao vinashuka mbele ya macho yetu wakiwa ndani ya Simba. Onana yule aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu tena. Kuna uzi nilisema kuna mechi ya kwanza au ya pili ya msimu, kuna jambo niliona alilifanya nikajua huyu hatunaye tena.

Luis alionyesha flash za ubora mechi kadhaa za mwanzo ingawa bado hakuwa na ubora wa zamani ila sasa hivi ameshuka zaidi.

Che Malone aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu wa sasa.

Phiri anayeimbwa na wengi naye hivyo hivyo hadi kuna watu wanadiriki kusema hafai kuwepo Simba. Hapo sijamuongelea Baleke aliyekuwa anapiga hat trick za kutosha msimu wake wa kwanza, sasa hivi kufunga goli moja tu ni mtihani.

Tujiulize inakuwaje viwango vya wachezaji wa Simba vimekuwa vinaporomoka ghafla?
 
Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Sasa kama nyie ni makocha wazuri ni kwanini Simba ihangaike kutafuta nje. Huyu akitimuliwa nenda kawaambie wakuachie timu ili uwe unapanga hivyo
 
Na wy
Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wydad nao mahesabu yao ni kuifunga Simba home and away. Halafu asec nao wanaisubiri Simba kwa hamu
 
Hii mechi haimalizi?
Thread inasoma live match
 
Cha kushangaza wachezaji viwango vyao vinashuka mbele ya macho yetu wakiwa ndani ya Simba. Onana yule aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu tena. Kuna uzi nilisema kuna mechi ya kwanza au ya pili ya msimu, kuna jambo niliona alilifanya nikajua huyu hatunaye tena.

Luis alionyesha flash za ubora mechi kadhaa za mwanzo ingawa bado hakuwa na ubora wa zamani ila sasa hivi ameshuka zaidi.

Che Malone aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu wa sasa.

Phiri anayeimbwa na wengi naye hivyo hivyo hadi kuna watu wanadiriki kusema hafai kuwepo Simba.

Tujiulize inakuwaje viwango vya wachezaji wa Simba vimekuwa vinaporomoka ghafla?
Onana hakabi,halafu anapenda ku-dribble na hawezi mpira unanyang'anywa, akipewa mpira unaweza ana space kubwa ya kutoa pasi nzuri na watu wapo kwenye nafasi yeye anaanza kuchenga na mpira unapotea mnaanza kutafuta,hicho miquison alikuwa anaweza zamani,sasa hivi naye hivo hivo hata kukimbia tu hawezi, huyu kocha kama viongozi watamsikiliza sidhani kama wataendelea simba hata msimu mdogo,hizo nafasi watu wakipatikana wasipoachwa watasahaulika benchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]kilimo cha matikiti hiki
 
Back
Top Bottom