Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Attachments

  • Screenshot_20231203-000510_Firefox.jpg
    Screenshot_20231203-000510_Firefox.jpg
    26.2 KB · Views: 2
Ila pia nimefurahi sana kuona timu ya waarabu inaburuza mkia na haina hata point 1. Tena litimu giant na maarufu sana. *****.
 
Kiukweli Wydad ya msimu uliopita na ya msimu huu zote hazikuwa zinatisha hasa kwa kuwa hawana forward lineup ya kueleweka ndiyo kinachowagharimu. Raja ni timu bora kuliko Wydad.

Mechi ijayo ya Wydad vs Simba ni ya kufa na kupona, Simba ikipambana ikapata hata sare kule, nafasi ni kubwa ya kuvuka ingawa inabidi nafasi za kufunga ziwe zinatumika vizuri maana naona dalili za timu kulingana points katika group hili.
 
Huyu wydad hasira atataka kuzimaliza kwetu, na sisi hatutotakaa atuonee, tutamfurahishaa mbna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kule kwa jwaneng na aisec na wao watacheza mechi mbili mfululizo za wao kwa wao.

Wote wana point 4.. mechi zao mbili atakaeshinda anafuzu. Bila kurudiana na simba ama waydad
 
Kiukweli Wydad ya msimu uliopita na ya msimu huu zote hazikuwa zinatisha hasa kwa kuwa hawana forward lineup ya kueleweka ndiyo kinachowagharimu.

Mechi ijayo ya Wydad vs Simba ni ya kufa na kupona, Simba ikipambana ikapata hata sare kule, nafasi ni kubwa ya kuvuka ingawa inabidi nafasi za kufunga ziwe zinatumika vizuri maana naona dalili za timu kulingana points katika group hili.
Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom