Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Kule kwa jwaneng na aisec na wao watacheza mechi mbili mfululizo za wao kwa wao.

Wote wana point 4.. mechi zao mbili atakaeshinda anafuzu. Bila kurudiana na simba ama waydad
Asec na Jwaneng waachiane point point

Kila mmoja ashinde kwakwe ili kila mtu apate point 3

Hivyo wote wafikishe point 7

Wydad na Simba wapambane kivyao

Aahaaaa
 
Wydad vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs wydad (nyumbani) point 3
Asec vs Simba (ugenini) point 1
Simba vs Galaxy ( nyumbani ) point 3

Points tulizo nazo 2.

Itakuwa 2+1+3+1+3=10
Ingewezekana hivo tunafuzu

Tunahakikisha tunashinda mechi mbili kwa mechi zilizobaki na draw mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiweza kufanya hivi watafuzu, ila wapambane kweli kweli
 
Cha kushangaza wachezaji viwango vyao vinashuka mbele ya macho yetu wakiwa ndani ya Simba. Onana yule aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu tena. Kuna uzi nilisema kuna mechi ya kwanza au ya pili ya msimu, kuna jambo niliona alilifanya nikajua huyu hatunaye tena.

Luis alionyesha flash za ubora mechi kadhaa za mwanzo ingawa bado hakuwa na ubora wa zamani ila sasa hivi ameshuka zaidi.

Che Malone aliyecheza mechi ya Simba Day siyo huyu wa sasa.

Phiri anayeimbwa na wengi naye hivyo hivyo hadi kuna watu wanadiriki kusema hafai kuwepo Simba. Hapo sijamuongelea Baleke aliyekuwa anapiga hat trick za kutosha msimu wake wa kwanza, sasa hivi kufunga goli moja tu ni mtihani.

Tujiulize inakuwaje viwango vya wachezaji wa Simba vimekuwa vinaporomoka ghafla?
Hivi unataka baleke afunge hatrick ilihali wachezaji anaoanza nao mechi ni kina Onana,Saido na kibu .Wachezaji ambao haeatengenezi nafasi kwa striker wala hawana maamuzi mazuri wanapokuwa ktk final third.

Chama ambaye alikuwa akipika mabao mengi ya Simba msimu uliopita ndio huyu anayeingia uwanjani ktk dk ya 70 huku striker akiwa kachoka ama katolewa. Unategemea striker atafanya miujiza gani?
 
Kule kwa jwaneng na aisec na wao watacheza mechi mbili mfululizo za wao kwa wao.

Wote wana point 4.. mechi zao mbili atakaeshinda anafuzu. Bila kurudiana na simba ama waydad
Jwaneng na Assec mmoja lazima aende robo, na kat ya simba na wydad mmoja lazima aende robo.

Kivumbiii leo
 
Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Saidoo asicheze, akicheza n dkk 45 tyuuh.
Kocha anatufelisha.
 
Onana hakabi,halafu anapenda ku-dribble na hawezi mpira unanyang'anywa, akipewa mpira unaweza ana space kubwa ya kutoa pasi nzuri na watu wapo kwenye nafasi yeye anaanza kuchenga na mpira unapotea mnaanza kutafuta,hicho miquison alikuwa anaweza zamani,sasa hivi naye hivo hivo hata kukimbia tu hawezi, huyu kocha kama viongozi watamsikiliza sidhani kama wataendelea simba hata msimu mdogo,hizo nafasi watu wakipatikana wasipoachwa watasahaulika benchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Li Saidooo hili mbna hamlitaji, lenyewe linafanya nn kwan? Si kujiangusha hovyoo tyuuh.
Linaboaa
 
Hivi unataka baleke afunge hatrick ilihali wachezaji anaoanza nao mechi ni kina Onana,Saido na kibu .Wachezaji ambao haeatengenezi nafasi kwa striker wala hawana maamuzi mazuri wanapokuwa ktk final third.

Chama ambaye alikuwa akipika mabao mengi ya Simba msimu uliopita ndio huyu anayeingia uwanjani ktk dk ya 70 huku striker akiwa kachoka ama katolewa. Unategemea striker atafanya miujiza gani?
Usijitoe ufahamu, suala siyo anacheza na nani, Baleke alipokuja Simba ilikuwa nafasi moja tu anakuliza, na alipokuwa anafunga hizo hattrick alikuwa anacheza na hao hao kina Kibu na Saido. Chama ameanza kufanyiwa sub mechi kama 2 tu zilizopita.
 
Back
Top Bottom