Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Usijitoe ufahamu, suala siyo anacheza na nani, Baleke alipokuja Simba ilikuwa nafasi moja tu anakuliza, na alipokuwa anafunga hizo hattrick alikuwa anacheza na hao hao kina Kibu na Saido. Chama ameanza kufanyiwa sub mechi kama 2 tu zilizopita.
Wewe ndio unajitoa ufahamu...hivi baleke anaa goli ngapi ligi kuu mpaka useme hafungi magoli? Yaani hajafunga mechi 3 tu za klabu bingwa tayari ushasema kuwa mzembe...we umelogwa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…