Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Asernal kushika nafasi ya 7 msimu huu

Na hajasajiri Vifaa anasubiri viokote
 
Hayo maneno yamesemwa tangu mourinho hajaota mvi,lakin mpaka leo rashford anacheza man u wanaodondoka nje ya 4 bora ni manchester,chelsea na liver
 
Mtoa mada ata neno lenyewe Arsenal naona linampiga chenga.
 
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
Tuombe uzima, tuuone mwisho wa ligi.tutaurejesha huu uzi
 
Asernal=Arsenal
bila shaka wewe ni shabiki wa manyumbu united
3a4c2eb475b4b070ca89c2a6c91a65a9.jpg

ArsayNO The Mandaz Hongereni kwa kumsajili Takuma atawafikisha mbali nasikia Prof Wengewenge kakiona kipaji chake kipo nyuma lkn hajali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
Maadui wa arsenal wameanza kutoa kauli hizi miaka 10 iliopita, lakini wanaishia kuporomoka wao na kuiacha arsenal pale pale. Kwa taarifa yako arsenal ndio klabu pekee ya EPL ambayo haijawahi kushindwa kuqualify UCL katika seasons 20 zilizopita. Toeni utabiri wenu, ukweli mtaupata May next year Mungu akituweka hai.
 
manyumbu man u,liver,chelsea kila mwaka mnasema hivo na bado aresenal inacheza uefa kila sku
 
manyumbu man u,liver,chelsea kila mwaka mnasema hivo na bado aresenal inacheza uefa kila sku
Kifaa chetu kipya striker Magoli, mtupiaji anayetisha new Thierry Henry Asano Takuma anawatia kiwewe hao
 
Back
Top Bottom