rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wewe shabiki wa bodaboda fc/Mo fc/Mbumbumbu fc/Mikia fc! Mzee Kilomoni fc! Uwe unatoa hizo live updates za timu yako sasa badala ya kupiga tu soga!Wale Jamaa Uto Fc Wanatamani Mnyama Apoteze
Kaka toa updates kaka..ndio nimetoka Mnazi mmoja weigh bridge hapa naitafuta Mtwara..Bokoooooooooo
Mnajua Azam hana ubavu mbele ya mnyamaKila la kheri mikia,nawaombea ushindi ili tukutane tufanye jambo letu
Wewe shabiki wa bodaboda fc/Mo fc/Mbumbumbu fc/Mikia fc! Mzee Kilomoni fc! Uwe unatoa hizo live updates za timu yako sasa badala ya kupiga tu soga!
Au unadhani mashabiki wa timu ya Wananchi a.k.a Mabingwa wa kihistoria Nchini Tanzania, tuna muda mchafu wa kuangalia hizo timu zenu Mbumbumbu fc A na B?
Msimlaumu amenogewa na mpira simba wako juu kuna vitu si vya kawaidaKaka toa updates kaka..ndio nimetoka Mingoyo weigh bridge hapa naitafuta Mtwara..
kaka kandanda kali sana,nashindwa kujigawaKaka toa updates kaka..ndio nimetoka Mnazi mmoja weigh bridge hapa naitafuta Mtwara..
Natafuta kibanda umiza huku nilipo ni ugeninkaka kandanda kali sana,nashindwa kujigawa
HT Simba 1- 0 Azam
Utopolo ni ujinga uliokithili ni kama laana ya ukoo kadiri kizazi kipya kinavyokuja laana inaongezeksHivi maana ya Utopolo ni nini?