ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Wale Jamaa Uto Fc Wanatamani Mnyama Apoteze
Wewe shabiki wa bodaboda fc/Mo fc/Mbumbumbu fc/Mikia fc! Mzee Kilomoni fc! Uwe unatoa hizo live updates za timu yako sasa badala ya kupiga tu soga!

Au unadhani mashabiki wa timu ya Wananchi a.k.a Mabingwa wa kihistoria Nchini Tanzania, tuna muda mchafu wa kuangalia hizo timu zenu Mbumbumbu fc A na B?
 
Hivi maana ya Utopolo ni nini?
 
Back
Top Bottom