bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 566
- 420
Agiza Kvant na mishikaki ya ngamia nakuja KulipiaSimba isajiriwe kama kiwanda cha kuchakata soka
Natamani tukutane fainali..mpangwe na Namungo tenaMPWA NAWAANGALIA MNAFURAHIA TU AMJUI NYUMA YUKO NANI ANAKUJA KUWAFURAHISHA MPWAAWANGU
MDA UNAKUJA
kwa misimu 4 yanga ajawahi kukufunga je? ulikuwa unatumia vibuyu ama ni zile spray za kumaliza nguvu ama ni mbinu ya kuwanunua marefaNi kweli mkuu kwa "vibuyu" mko vizuri..
march 8 ilikutana na wachakata kabumbu kilicho wakuta hahahahahaha86' Simba 2- 0 Azam
Simba isajiliwe kama kiwanda cha kuchakata soka
Sawa mkuukwa misimu 4 yanga ajawahi kukufunga je? ulikuwa unatumia vibuyu ama ni zile spray za kumaliza nguvu ama ni mbinu ya kuwanunua marefa
huna mpir wa kumfunga yanga mechi ya kwanza umerudishiwa goli 2 ndani ya dk 3, march 8 umekojozwa cha nguruwe unapata wapi ujasiri wa kutamba mkuu
Wagamba hamjawalipa kipindi kile ndio ikawa sababu baada ya ile mechi tarehe 8 mnadroo kila mtakaekutana nae. Safari hii kazi mnayo hela ya kulipa wachezaji tu hamna na kwa waganga mna madeni😀Hautaamini kitachotokea...mark my words...Tena mje kwa wingi Kama kawaida yenu kujiamini kwa mechi za hivi karibuni ili msiba uwanjani uwe mkubwa zaidi...mtapigwa 2 kavu...
Lugha ya mtoto mdogo
Katumwa na yanga ni domayodaah kuna mpuuuzi kafanya rafu kwa Kapombe,pumbavu
sanaaa ila ikikutana na yanga inapigwa kimoko tu kwisha habariFT Simba 2-0 Azam
Simba imecheza mpira mkali kama play station
Nakubaliana na wewe...endelea kuelewa hivyo hivyoWagamba hamjawalipa kipindi kile ndio ikawa sababu baada ya ile mechi tarehe 8 mnadroo kila mtakaekutana nae. Safari hii kazi mnayo hela ya kulipa wachezaji tu hamna na kwa waganga mna madeni😀
Ajibu sikuizi anacheza wapi?
unaumwa wewesanaaa ila ikikutana na yanga inapigwa kimoko tu kwisha habari