ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Ni kweli mkuu kwa "vibuyu" mko vizuri..
kwa misimu 4 yanga ajawahi kukufunga je? ulikuwa unatumia vibuyu ama ni zile spray za kumaliza nguvu ama ni mbinu ya kuwanunua marefa

huna mpira wa kumfunga Yanga mechi ya kwanza umerudishiwa goli 2 ndani ya dk 3, march 8 umekojozwa cha nguruwe unapata wapi ujasiri wa kutamba mkuu
 
kwa misimu 4 yanga ajawahi kukufunga je? ulikuwa unatumia vibuyu ama ni zile spray za kumaliza nguvu ama ni mbinu ya kuwanunua marefa

huna mpir wa kumfunga yanga mechi ya kwanza umerudishiwa goli 2 ndani ya dk 3, march 8 umekojozwa cha nguruwe unapata wapi ujasiri wa kutamba mkuu
Sawa mkuu
 
Hautaamini kitachotokea...mark my words...Tena mje kwa wingi Kama kawaida yenu kujiamini kwa mechi za hivi karibuni ili msiba uwanjani uwe mkubwa zaidi...mtapigwa 2 kavu...
Wagamba hamjawalipa kipindi kile ndio ikawa sababu baada ya ile mechi tarehe 8 mnadroo kila mtakaekutana nae. Safari hii kazi mnayo hela ya kulipa wachezaji tu hamna na kwa waganga mna madeni😀
 
Wagamba hamjawalipa kipindi kile ndio ikawa sababu baada ya ile mechi tarehe 8 mnadroo kila mtakaekutana nae. Safari hii kazi mnayo hela ya kulipa wachezaji tu hamna na kwa waganga mna madeni😀
Nakubaliana na wewe...endelea kuelewa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom