Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mwana kulifind mwanakuliget tako moko fc mmejileta wenyewe tuwale tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naomba awe hajaumia ili mkose la kusemaNaomba Mungu Kapombe awe hajaumia, domayo ulichofanya kwa Kapombe Mungu anakuona
hivi wewe ni wakati gani unaandika vitu vya msingi,kila nikisoma nikikusoma pumba tuHata mimi naomba awe hajaumia ili mkose la kusema
Anakataaje kwa mfano. 😂😂😂Chakula imekuja gheto aaah raha sana,karibu mrembo this time ntapiga viwili tu
😂😂😂😂Kwahiyo Manara amegoma kutuambia Mzee Tozi ilikuwaje hadi akafadhili kampeni zake mwaka 95? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikazie tu Mkuu waje kwa wingi.Hautaamini kitachotokea...mark my words...Tena mje kwa wingi Kama kawaida yenu kujiamini kwa mechi za hivi karibuni ili msiba uwanjani uwe mkubwa zaidi...mtapigwa 2 kavu...
Umesahau a.k.a zenu zingine kamaHongereni watani mukia fc,bungusilo,aka mbumbumbu wa msimbazi jana mmecheza kandanda moja kubwa sana mpaka mimi mwananchi nikashtuka, lakini niwahakikishie mbele ya jangwani aka, mabingwa wa kihistoria wa njano na kijani wa kimataifa kwa udhamini wa manji na sauti ya Jerry Muro. Mkia aminini nawaambia mtagongwa bao mbili saaafi
Kaka hizi ndo kauli tunataka sasa. 😂😂😂Sawa mkuu
Tarehe 11 na 12 Mkuu.Hii nusu fainaly ni mwezi wa saba, tarehe ni ngapi?
Anakataaje kwa mfano. 😂😂😂
Hicho ndo kimemleta.