ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Imeisha hiyo[emoji881][emoji1200]!!!
IMG_0374.JPG
 
Naomba Mungu Kapombe awe hajaumia, domayo ulichofanya kwa Kapombe Mungu anakuona
 
Vyura bhana! Kusema kuwa Vinamuogopa Simba haviwezi vinaishia kujitopolo tu.
 
Hautaamini kitachotokea...mark my words...Tena mje kwa wingi Kama kawaida yenu kujiamini kwa mechi za hivi karibuni ili msiba uwanjani uwe mkubwa zaidi...mtapigwa 2 kavu...
Nikazie tu Mkuu waje kwa wingi.

Saa hizi tunawaacha tu waendelee kujitekeny* na kucheka wenyewe. 😀😀
 
Hongereni watani mukia fc,bungusilo,aka mbumbumbu wa msimbazi jana mmecheza kandanda moja kubwa sana mpaka mimi mwananchi nikashtuka, lakini niwahakikishie mbele ya jangwani aka, mabingwa wa kihistoria wa njano na kijani wa kimataifa kwa udhamini wa manji na sauti ya Jerry Muro. Mkia aminini nawaambia mtagongwa bao mbili saaafi
 
Umesahau a.k.a zenu zingine kama
Wa Kubebwa FC, Mbeleko United a.k.a Timu ya Refa
 
Leo Azam waseme wamenunuliwa kwa shilingi ngapi ?
Huu ndio mpira wa Simba
 
Back
Top Bottom