Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Za asubuhi ni poa kabisa Mtani.Mtani za asubuhi?
Vipi mmeshaandaa kamati ya ufundi?
Najua tu lazima mutetemeke kidogo hasa kila mukiiwaza hiyo kamati. Lol
Niseme tu mujiandae kisaikolijia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za asubuhi ni poa kabisa Mtani.Mtani za asubuhi?
Vipi mmeshaandaa kamati ya ufundi?
Nawahurumia ila wizara ya afya wawe makini wasije kuchanganya hesabu za mashabiki wa yanga kufa kwa presha na vifo vya CoronaZa asubuhi ni poa kabisa Mtani.
Najua tu lazima mutetemeke kidogo hasa kila mukiiwaza hiyo kamati. Lol
Niseme tu mujiandae kisaikolijia.
Wamesajili marefariiKwa wachezaji gani ulonao?
Za asubuhi ni poa kabisa Mtani.
Najua tu lazima mutetemeke kidogo hasa kila mukiiwaza hiyo kamati. Lol
Niseme tu mujiandae kisaikolijia.
Hata bila yeye mechi tunaimaliza. Hakika nakwambia.Mtamrudisha Morrison?
Maana ndiye mbeba mikoba kwa mwaka huu.
Hata bila yeye mechi tunaimaliza. Hakika nakwambia.
Wacha kujitoa ufahamu basi Mtani.Nawahurumia ila wizara ya afya wawe makini wasije kuchanganya hesabu za mashabiki wa yanga kufa kwa presha na vifo vya Corona
Hahahahahaa. Jumapili si mbali atii.Mnajipa ushujaa tu.
Hapo mlipo hali zenu mnazijua wenyewe.
Safari hii tunawaharibia kiasi cha kutosha.
Hahahahahaa. Jumapili si mbali atii.
Tuombe uzima Mtani.
Aah ni kuwa mpole tu.. haya mambo ya mpira ukiwa mtu wa hasira..utagombana na kila mtu!Kaka hizi ndo kauli tunataka sasa. 😂😂😂
sisi mashabiki wa Simba kwa lile soka kali tunastahili kuamka saa ngapiKaka hizi ndo kauli tunataka sasa. 😂😂😂
Kabisaaa Kaka. Na pia ukizingatia ushabiki si uadui.Aah ni kuwa mpole tu.. haya mambo ya mpira ukiwa mtu wa hasira..utagombana na kila mtu!
Tarehe 13 ndio mtajua saa mtaamka. 😂😂😂sisi mashabiki wa Simba kwa lile soka kali tunastahili kuamka saa ngapi
Yaani jana Baada Ya Mpira Kuisha Walah Nilikua Nakukumbuka nikasema Safari Hii Mtani Tuwe Pamoja Mtani Tusikimbiane.Tarehe 13 ndio mtajua saa mtaamka. 😂😂😂
Wengine hata kazini hamuendagi. 😎🏃♂️
Pamoja sana mwanautopolomsimbazi jana mmecheza kandanda moja kubwa sana mpaka mimi mwananchi nikashtuka
Hakika Mtani inabidi tutafutane this time.Yaani jana Baada Ya Mpira Kuisha Walah Nilikua Nakukumbuka nikasema Safari Hii Mtani Tuwe Pamoja Mtani Tusikimbiane.
Maana Jana Simba Ilinipa Raha Ya Hatari Mtani, na Raha Ile Ikamilike Lazime tuwadungue Yaani Mola Atupe Uhai na Usalama.