ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

Za asubuhi ni poa kabisa Mtani.

Najua tu lazima mutetemeke kidogo hasa kila mukiiwaza hiyo kamati. Lol

Niseme tu mujiandae kisaikolijia.
Nawahurumia ila wizara ya afya wawe makini wasije kuchanganya hesabu za mashabiki wa yanga kufa kwa presha na vifo vya Corona
 
Tarehe 13 ndio mtajua saa mtaamka. 😂😂😂

Wengine hata kazini hamuendagi. 😎🏃‍♂️
Yaani jana Baada Ya Mpira Kuisha Walah Nilikua Nakukumbuka nikasema Safari Hii Mtani Tuwe Pamoja Mtani Tusikimbiane.

Maana Jana Simba Ilinipa Raha Ya Hatari Mtani, na Raha Ile Ikamilike Lazime tuwadungue Yaani Mola Atupe Uhai na Usalama.
 
Hakika Mtani inabidi tutafutane this time.

Hahahahaaa!! Kila la kheri Mtani wangu japo unajijua kabisa mkikutana na sisi vile namna huwa mnatepeta. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom