Sawa...kwenye huo mpunga nadhani wewe ulikuwa wakalaNilichokiona leo 😂😂 yaani mbeleko ya wazi kabisa Lawi kavuta mpunga Gsm,yaani huyu ashawahi kuchezesha mechi mbeya wachezaji wa Mbeya City wakiwa kumi na mbili uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...kwenye huo mpunga nadhani wewe ulikuwa wakalaNilichokiona leo 😂😂 yaani mbeleko ya wazi kabisa Lawi kavuta mpunga Gsm,yaani huyu ashawahi kuchezesha mechi mbeya wachezaji wa Mbeya City wakiwa kumi na mbili uwanjani
Nasikia Awesu amemtukana tusi baya sana Refa.Aliyefanyiwa foul anapewa red card na aliyefanya anaachwa,ushindi wa mezani ule
Kwa ule upuuzi wa refa sishangaiNasikia Awesu amemtukana tusi baya sana Refa.
hivi msaani aliyeimba "kumwelewesha chizi utapata tabu", anaitwa nani?Ndio Sheria za MO kwenye soka la bongo
Kila la kheri Mtani.
Tunawasubiria.