ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

Nakubaliana na wewe kabisa kwa hili...mechi kadhaa za Simba zilikuwa na utata mkubwa Sana...karibu mechi sita za Simba marefaa walikuwa Sijui wamekula kitu. Gani....siku ya 2-2 na Yanga Wawa ilikuwa apewe straight red card kwa kumkanyaga Nchimbi live refa akiwa siyo zaidi ya mita tano kutoka eneo la tukio...halafu penalti ya Simba nayo ilikuwa siyo ya kawaida...siku Yanga iliposhinda 1-0 dhidi ya Simba yule Chama ilikuwa apewe straight red kwa kumkanyaga makusudi fei toto...siku ya namungo na Simba pia ilikuwa vituko...siku ya Simba na polisi nayo ilikuwa balaa...na mechi ya Simba na prisons nayo beki wa Simba alinawa live ndani ya penalti box...kwa hiyo Mambo siyo Mambo...halafu kipigo cha Singida United Cha 8-0 nacho kilikuwa siyo Cha kawaida...wafuatiliaji wanajua Nini kilitokea Kama ilivyo kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Mtibwa...
Yanga mnajua kutafuta sababu kuharalisha uovu wenu, Yanga mmebebwa mechi ngapi hawasemi watu, makosa ya refa Leo isiwe sababu ya kuharalisha uovu wa refa
 
Ni hivi mnaona kama simba kabebwa sana msimu huu ila ni kwa vile tu ni bingwa ila pia hata yanga kabebwa sana tena inawezekana zaidi hata ya simba.

Baadhi ya matukio: yanga walipewa goli dhidi ya coastal union wakati mpira haujavuka mstari, dhidi ya polisi , polisi walinyimwa goli halali walilofunga, dhidi ya azam magoli ya wazi na penati azam wananyimwa, dhidi ya lipuli maamuzi ya goal kona yote ikiwa ni kuibeba yanga. Matukio ni mengi, utopolo wamebebwa sana sema tu viongozi wa utopolo wamejua jinsi ya kuwalaghai mashabiki wao kwa kuwaaminisha kuwa wamekosa ubingwa kwa sababu ya simba kubebwa wakati utopolo zile mechi za haki bini haki utopolo wamepoteza points nyingi sana kama zile draw nne mfululizo.
 
Ok tunakubaliana au Mimi nakubaliana na wewe kuhusu hayo....ila kuna watu watstu wamefanya uchambuzi wa ligi kuu mpka Sasa..facts zinaonesha Simba imepora pointi 17 mpaka Sasa. Yaani Simba walitakiwa wawe na pointi 62 mpaka Sasa na siyo 79...
 
Yanga mnajua kutafuta sababu kuharalisha uovu wenu, Yanga mmebebwa mechi ngapi hawasemi watu, makosa ya refa Leo isiwe sababu ya kuharalisha uovu wa refa
Sawa ...poleni Sana kwa kuumia leo...huenda Simba na Yanga zikakutana katika kombe hili..ilitokea hivyo ni mshindi atajulikana kwani itakuwa ni 2-0. Mark my words...
 
Nilichokiona leo 😂😂 yaani mbeleko ya wazi kabisa Lawi kavuta mpunga Gsm,yaani huyu ashawahi kuchezesha mechi mbeya wachezaji wa Mbeya City wakiwa kumi na mbili uwanjani
 
Simba amajikusanyia points 18 za utata mtupu
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hili...mechi kadhaa za Simba zilikuwa na utata mkubwa Sana...karibu mechi sita za Simba marefaa walikuwa Sijui wamekula kitu. Gani....siku ya 2-2 na Yanga Wawa ilikuwa apewe straight red card kwa kumkanyaga Nchimbi live refa akiwa siyo zaidi ya mita tano kutoka eneo la tukio...halafu penalti ya Simba nayo ilikuwa siyo ya kawaida...siku Yanga iliposhinda 1-0 dhidi ya Simba yule Chama ilikuwa apewe straight red kwa kumkanyaga makusudi fei toto...siku ya namungo na Simba pia ilikuwa vituko...siku ya Simba na polisi nayo ilikuwa balaa...na mechi ya Simba na prisons nayo beki wa Simba alinawa live ndani ya penalti box...kwa hiyo Mambo siyo Mambo...halafu kipigo cha Singida United Cha 8-0 nacho kilikuwa siyo Cha kawaida...wafuatiliaji wanajua Nini kilitokea Kama ilivyo kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Mtibwa...
 
Ok tunakubaliana au Mimi nakubaliana na wewe kuhusu hayo....ila kuna watu watstu wamefanya uchambuzi wa ligi kuu mpka Sasa..facts zinaonesha Simba imepora pointi 17 mpaka Sasa. Yaani Simba walitakiwa wawe na pointi 62 mpaka Sasa na siyo 79...
Tuko pamoja, sasa waambie pia wafanye uchambuzi yanga wamepora points ngapi kwa kubebwa halafu uje hapa tulinganishe
 
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hili...mechi kadhaa za Simba zilikuwa na utata mkubwa Sana...karibu mechi sita za Simba marefaa walikuwa Sijui wamekula kitu. Gani....siku ya 2-2 na Yanga Wawa ilikuwa apewe straight red card kwa kumkanyaga Nchimbi live refa akiwa siyo zaidi ya mita tano kutoka eneo la tukio...halafu penalti ya Simba nayo ilikuwa siyo ya kawaida...siku Yanga iliposhinda 1-0 dhidi ya Simba yule Chama ilikuwa apewe straight red kwa kumkanyaga makusudi fei toto...siku ya namungo na Simba pia ilikuwa vituko...siku ya Simba na polisi nayo ilikuwa balaa...na mechi ya Simba na prisons nayo beki wa Simba alinawa live ndani ya penalti box...kwa hiyo Mambo siyo Mambo...halafu kipigo cha Singida United Cha 8-0 nacho kilikuwa siyo Cha kawaida...wafuatiliaji wanajua Nini kilitokea Kama ilivyo kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Mtibwa...
Yaani hawa tako moko fc ni nouma sana.
 
Ok tunakubaliana au Mimi nakubaliana na wewe kuhusu hayo....ila kuna watu watstu wamefanya uchambuzi wa ligi kuu mpka Sasa..facts zinaonesha Simba imepora pointi 17 mpaka Sasa. Yaani Simba walitakiwa wawe na pointi 62 mpaka Sasa na siyo 79...
Lete ushahidi/ kumbukumbu ya hizo mechi tuone. Sio kuleta habari za kwenye vijiwe kwenye jukwaa unaloweza kuleta hadi ushahidi
 
Labda refa wa jana alilamba posho, maana mwishoni hata mchezaji wa Kagera akipulizwa na upepo refa alikuwa anatenga faulo

Juma Nyoso alimchezea rafu mbaya Molinga lakini hakupewa hata kadi ya njano

Acha mechi zote, acha hata ile ya Yanga ambayo Kagere alipewa penati akifanyiwa faulo nje ya 18, acha yale magoli ya offside ya simba ya mechi dhidi ya Polisi na Namungo, acha yale magoli ambayo kapombe anapiga krosi kutoka nje ya Uwanja na Kagere anafunga, acha mechi yenu ya FA dhidi ya Mwadui refa anasema forward wa Mwadui kaotea wakati hajaotea.

Tuongelee mechi ya juzi dhidi ya Prison, mechi iliyowapa ubingwa, mechi ambayo beki wenu anashika mpira kwenye penati box lakini refa anapeta. Nina mifano mingi sana ya mechi mlizobebwa, nimechoka ku type.
Kwa hiyo unamaanisha wa mechi yenu na Kagera sugar amelamba posho?
.
Hao wa Simba nionyeshe tafadhali
 
Utopolo walibebwa jana,njama za wazi kabisa , hana hata la kujivunua
 
Tukipita hapa tukikutana ,technical na kila kitu tunawafunga labda kwenye kuloga mtashinda
 
Shomari Lawi alimchukia Uwesu Uwesu toka alipofunga goli la kwanza na alikuwa anakisasi naye.
Kafanyiwa rafu ya wazi na golikipa wa Yanga ndani ya Box zawadi yake akamkabidhi kadi ya njano.
Kafanyiwa rafu nje ya Box kamkabidhi kadi nyekundu na Uwesu hakusema chochote dhidi ya Refalii. Ajabu waliomfanyia rafu hawakuoneshwa kadi yoyote, yeye na kipa wake.
Kati ya wachezaji wenye nidhamu dimbani basi mmojawapo ni Uwesu Uwesu.

Huko Insta Asubuhi hii baada ya kuiangalia gemu na kuona aibu Lawi amewaomba radhi Kagera, TFF, na Wadau wa Mpira lakini kasahau kumwomba radhi Uwesu.

TFF tunaomba muondoe kadi zote alizopata Uwesu, huyo Refa bakini naye, maana inasemekana alikuwa anatimiza maagizo yenu mliyompa.

Yanga acheni kuwanyooshea Simba kuwa ndio wanaobebwa na kushutumu kila mkiamka, bali semeni hivi.

" Sisi timu kongwe yaani sisi Yanga na Simba ni kawaida yetu kubebwa na waamuzi na TFF. "

Hii ni Aibu kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom