ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

ningekuwa na uwezo Simba yangu ningeiamishia ligi za Congo,huu ni upuuzi
 
Lawi si huhuyu aliyekataa magoli mawili ya Azam.
Labda ana kadi ya uwanachama wa Yanga
 
Niliwambia mikia a.k.a Malikia Fc mtaukimbia Uzi huu

Mmesahau huo ubingwa wenu una harufu ya rushwa na kubebwa.... Manina, kalaleni na viatu sasa
IMG-20200308-WA0018.jpeg
 
Back
Top Bottom