ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

shabiki mstaarabu wa yanga kama Shayeeda hawezi kushangilia ushindi wa leo huu watashangilia utopolo halisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyoso kamkanyaga Molinga, ilibidi apewe kadi nyekundu lakini Lawi kimya. Nilisahau kumbe mikia leo wapo upande wa Kagera aliyewatoboa tundu
Kipa wa Yanga kamfanyia rafu Uwesu Uwesu ndani ya Box na ilitakiwa iwe penati lakini Lawi kaminya.
Nilisahau kumbe inayobebwa ni Simba tu.
 
View attachment 1493724

Refa mpumbavu wa mwaka katika soka
kujua nani bora kaangalie marudio kwenye youtube na pia kaangalie mechi ya yanga na azam na mechi ya yanga na namungo halafu uwalinganishe
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hili...mechi kadhaa za Simba zilikuwa na utata mkubwa Sana...karibu mechi sita za Simba marefaa walikuwa Sijui wamekula kitu. Gani....siku ya 2-2 na Yanga Wawa ilikuwa apewe straight red card kwa kumkanyaga Nchimbi live refa akiwa siyo zaidi ya mita tano kutoka eneo la tukio...halafu penalti ya Simba nayo ilikuwa siyo ya kawaida...siku Yanga iliposhinda 1-0 dhidi ya Simba yule Chama ilikuwa apewe straight red kwa kumkanyaga makusudi fei toto...siku ya namungo na Simba pia ilikuwa vituko...siku ya Simba na polisi nayo ilikuwa balaa...na mechi ya Simba na prisons nayo beki wa Simba alinawa live ndani ya penalti box...kwa hiyo Mambo siyo Mambo...halafu kipigo cha Singida United Cha 8-0 nacho kilikuwa siyo Cha kawaida...wafuatiliaji wanajua Nini kilitokea Kama ilivyo kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya Mtibwa...
 
Back
Top Bottom