ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

Ni aibu sana yanga wamebebwa live ,huyu refa ahojiwe na TFF au takukuru.

Ni aibu kubwa sana
 
Kipa wa Yanga kamfanyia rafu Uwesu Uwesu ndani ya Box na ilitakiwa iwe penati lakini Lawi kaminya.
Nilisahau kumbe inayobebwa ni Simba tu.
 
Sijawahi kuona refa utopolo kama huyu.
Samahani...sijaangalia mechi ya leo...ila kwa maoni yako unadhani Kati ya yule aliyechezesha mechi ya Simba na Yanga ya 2-2 na huyu wa Leo ni nani Bora?
 
huyu refa na gsm wanalazimisha yanga apate uwakilishi mechi ya simba na yanga naogopa hatakwenda kwa maana ya upuuzi wanaofanya marefa na kamati yao kunaweza kuvuka fujo kubwa maana Simba hawapendi upuuzi kama huo
 
Mikia kwa maneno!!yaani mara hii tu umesahau jinsi tff walivyowahonga ubingwa?
Timu iliyoongoza kuwaponza marefarii kufungiwa game vs namungo game vs polisi na game vs mwadui zote zililalamikiwa kwa magoli ya offside na kuwatia matatizoni marefarii ajabu eti leo wanajifanya mahakimu!
 
Samahani...sijaangalia mechi ya leo...ila kwa maoni yako unadhani Kati ya yule aliyechezesha mechi ya Simba na Yanga ya 2-2 na huyu wa Leo ni nani Bora?
kujua nani bora kaangalie marudio kwenye youtube na pia kaangalie mechi ya yanga na azam na mechi ya yanga na namungo halafu uwalinganishe
 
Timu iliyoongoza kuwaponza marefarii kufungiwa game vs namungo game vs polisi na game vs mwadui zote zililalamikiwa kwa magoli ya offside na kuwatia matatizoni marefarii ajabu eti leo wanajifanya mahakimu!
ajabu mechi zote hizo ,liokuwa mnalalamika ni nyie ila hujazungumzia mechi ya yanga na namungo, yanga na azam na mechi ya leo na kagera
 
Back
Top Bottom