ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

Nilichokiona leo πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani mbeleko ya wazi kabisa Lawi kavuta mpunga Gsm,yaani huyu ashawahi kuchezesha mechi mbeya wachezaji wa Mbeya City wakiwa kumi na mbili uwanjani
Sawa...kwenye huo mpunga nadhani wewe ulikuwa wakala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…