Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

heee! kivipi tena?
na vipi mwanamke akiniteka na kunilazimisha nmfaki bila ridhaa yangu.
hapo yena vipi?
Utekwe halafu ufaki! How? Maumbile ya kiume yanakataa!
 
What is the legal difference between

🔹 SEXUAL HARASSMENT
and
🔹 INDECENT ASSAULT
 
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
Kumbuka ni Mtwara huko! Wanaanza mambo wakiwa wadogo
 
Dogo alikua anatake Advantage ya kupendwa na jimama akapata pa kukojolea, Hapo wazazi wa dogo itakua ndo wameharibu mchongo hao hawakubakana ila walikua wapenz buana.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…