Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

Hivi miaka 45 anaweza kuwa na mjukuu wa mtoto wake kabisa wa miaka 15?hata jirani
Asha kazingua kwanini kabaka mjukuu wake!!?
Atakuwa na changamoto ya afya ya akili, ni ngumu sana mwanamke kutenda kitu km hiko.
 
Kuna sehemu wameelezea kuwa ndio tabia yake KWA vijana Wengine wadogo? Mi nikajua ni KWA huyo wa 15 years tu.

Updates:. Nimeangalia gazeti la Mwananchi limesema ni tabia yake KWA vijana wadogo
Siyo tabia yake tu kutoa upwiru kwa watoto wadogo bali tabia yake ya kuwaua makusudi
 
Aidha rekebisha heading. Mwanaume habakwi. Labda hiyo kujihusisha kimapenzi na mtoto chini ya miaka 18. Kubakwa kuingiliwa pasipo hiari. Sasa huyo dogo si ilikiwa inasimama na inatema wazungu vzr. Usikute anaenda hata round 3 na kusikilizia kabisa. Hakimu kahukumu kwa mihemko tu
 
Hivi hao wanawake wanaobaka wako wapi jamani waje wanibake mimi, kama wapo humu wanicheki inbox
 
Hao Polisi walikuwa wahuni tu. Hakuna kesi inaendeshwa Polisi

Kwa taarifa yako zipo kesi ambazo zinaweza zikamalizwa pale pale police bila ya kwenda mahakamani kama mshitaki ataamua kufanya hivyo..
 
Kwahyo unataka kusema zile kesi ambazo watu hukata rufaa na kushinda hazikupitiwa na wanasheria wa serikali?

Unapaswa ujuwe kwmba sheria ina mtego ambao sehem ndogo tu inaweza kukuchomoa kwnye hukumu.

Kama mwanamke hawezi kubaka basi ni shambulio la aibu ,na kama ni hivyo, hukumu ya shambulio la aibu sio maisha..

Hapo ndy atakapo chomokea huyo dada..

Tena shambulio la aibu lina fine au kifungo kidogo na sio kifungo kirefu kama ilivyoamuliwa na mahakama.
 
Acha kutetea upuuzi mkuu ,acha akanyee debe man washazoea kuonea wanaume
Jela ni kama hospital mkuu,,ni yetu sote,,mtu yeyote anaweza akawa mtuhumiwa,,especially mwanaume..

Huyo dada hukumu amepewa kali sana tofauti na kesi yake ilivyo..

Yaani jambazi ambaye ametuhumiwa kuiba kwa kutumia silaha na kujeruhi watu hukumu ni miaka 30,,
lakini aliyemrubuni kimapenzi mvulana mdogo wa teenage afungwe maisha?

Vipi ikiwa dogo ndy aliyemrubuni huyo mama ?maana watoto wa sasa hawaogopi.
Lazima tufikirie inje ya box.

Africa a shit hole continent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…