Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

Amekatishaje ndoto zake na kumtaibia maisha kijana? Kwani Amempa mimba?
 
Kuna sehemu wameelezea kuwa ndio tabia yake KWA vijana Wengine wadogo? Mi nikajua ni KWA huyo wa 15 years tu.

Updates:. Nimeangalia gazeti la Mwananchi limesema ni tabia yake KWA vijana wadogo
Mtu ahukumiwi kwa maneno ya vijiweni bali kwa ushahidi usio na shaka..

Na hata kama angefanya hayo na watoto 100 tofauti lakini kesi aliyopewa ni shambulio la aibu basi haitoshi huyo dada kufungwa maisha labda abadilishiwe mashtaka apewe kesi ya kubaka watoto.
 
Kama dogo alikuwa ana-enjoy, mahakama ilipaswa kumuachia huru Asha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…