Ndugu wewe ndio umetoa maoni ya kimhemko. sheria haitafasiriwi hivyo. shambulio la aibu si tendo moja tu la dungadunga . Bali ni mkusanyiko wa makosa yakiwemo ambayo hayakidhi vigezo vya kuwa ubakaji! Sheria ipo wazi kuwa mwanamke hawezi kubaka kwa sababu ubakaji ni kitendo cha ume kuingia kwenye uke bila ridhaa ya mke.
Afu unajichanganya nadhali huelewi haya mambo. Sijui unamaanisha nini unaposema Asha akipata mwanasheria anachomoka ! Kwa kukusaidia huwezi kuwa hakimu bila kuwa mwanasheria. Na aliyeendesha kesi ni wakili kutoka ofisi ya waendesha mashitaka ya serikali ambaye ni mwanasheria. !
Labda kama unamaanisha kuwa ushahidi uliomfunga Asha ni hafifu ulikuwa wa mchongo hapo Asha anaweza kuchomoka.
Ila kwa kukusaidia Asha ni muharibifu alipaswa hata kunyongwa. Alikuwa amezoea kufanya hivyo vitendo na vijana wadogo na baadhi walitokea kutoa ushahidi dhidi yake. .Kibaya zaidi amemkatishia mtoto wa watu maisha ya ndoto zake na kafanya makusudi huku akijijua . Nadhani umeelewa sasa