pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Pamoja na kwamba uhusiano wako na majirani haukuwa muhimu sana kwako, kwani una vijihela na connection, ulitumia pia ushawishi wako kuzuia nyumba yako isibomolewe kupisha ujenzi wa barabara wakati nyumba zetu wengine zilibomolewa mara ya mwisho tulikutana Kinondoni karibu na bar ya Papi Chulo ulikuwa kwenye kibanda cha m pesa inatoa sh elfu 70.
Mwenye duka akakutaka uthibitishe jina ili akupe hela ukajibu kwa dharau kwani hujui mimi ni nani? Nilikuamkia ili kupunguza bughdha hukuitia shikamoo yangu ukachua elfu Sabini yako na kutokomea, mwenye duka akauliza yule dada ni nani mbona ana dharau nikamwambia ni meneja wa bendi πππππ π π wajumbe hao hao majirani zako unaopita bila kuwasalimia wakafanya yao shikamoo wajumbe